Mbowe: We will win this battle .

Mnamsingizia Jiwe bure tu, kwani yeye ndiye aliyemwambia mbowe and company waruke dhamana ya mahakama?
 
Tuende Mbele na kurudi nyuma, Mbowe na Matiko walikuwa hawahudhurii mahakamani bila sababu za msingi na ndio sababu ya kusukimiwa ndani!!
 
Tuende Mbele na kurudi nyuma, Mbowe na Matiko walikuwa hawahudhurii mahakamani bila sababu za msingi na ndio sababu ya kusukimiwa ndani!!
Habari kubwa sahv ni mafao ya watumishi tu.....vp unaionaje

Ova
 
Tuende Mbele na kurudi nyuma, Mbowe na Matiko walikuwa hawahudhurii mahakamani bila sababu za msingi na ndio sababu ya kusukimiwa ndani!!
Nawaona kama ni ka mbinu Fulani wanacheza nako ili kesi isianze kusomwa, maana haingii akilini kwamba mdhamini atoe sababu nyingine na Mbowe aje na ya kwakwe inayopingana na mdhamini wake. Lipo jambo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…