Yaani na mie nilivyooona tu heading ya hii thread waz namba moja nikakumbuka maneno ya Pascal Mayalla kuwa uongozi wa Chadema unawahadaa wanachama wao na wanajua kila kitu kuhusu Covid 19 na WATAWASAMEHE KWA 100%, tayari dalili ndio hizi zimeanza ngoja tuone