Mbowe,wahamasishe vijana CHADEMA wafanye kazi kujiingizia kipato

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
16,003
Wito kwa Mbowe,tafadhali wahimize wafuasi wa Chadema kufanya kazi ili wajikimu kwani wengi wanafikiria kutofanya kazi wanamkomoa Rais Magufuli na CCM.

Wimbi kubwa la vijana wanaojifanya wanaharakati na wengine ni watu wazima wameacha shughuli za kiuchumI na ajira wanafanya siasa zisizo na Kipato kwa ahadi hewa toka kwa viongozi wa Chadema ambao wenyewe wanafanya biashara na kilimo,huku wakiwarubuni vijana waache ajira ili "wajenge chama" matokeo yake wame kuwa ombaomba.

WakatI Umefika Mbowe u wa ambie UKweli la sivyo siku akili zikiwajia hawatahitaji kingine zaidi ya roho yako.
 
INGEKUWA HIVYO MNAVYOFIKIRI. HUYO MUNGU WENU ASINGESIMAMISHA AJIRA.KUWANYIMA WANAFUNZ MIKOPO NA KUANZISHA UHAKIKI ILI ASITOE INCREMENT NA KUPANDISHA WATU MADARAJA. KIBAYA ZAID KAFUTA POSHO

KWELI NYANI HAONI KUNDULE LAKE.
KWAHIYO UNATAKA KUWAAMINISHA WATU KUWA MBOWE ANAFANYA WATU WASIFANYE KAZI?
UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI
 
Hawa chadema watu wa ajabu sana,

Wanamtuma Lowasa kwenye mikutano ya kampeni akisimama anawaomba wananchi wachague wagombea wa ccm kwa kura nyingi.

Alafu baada ya matokeo bavichaa wanashangaa kwa nini wameshindwa!!!!

Shame on you
 
Wito kwa Mbowe,tafadhali wahimize wafuasi wa Chadema kufanya kazi ili wajikimu kwani wengi wanafikiria kutofanya kazi wanamkomoa Rais Magufuli na CCM.

Wimbi kubwa la vijana wanaojifanya wanaharakati na wengine ni watu wazima wameacha shughuli za kiuchumI na ajira wanafanya siasa zisizo na Kipato kwa ahadi hewa toka kwa viongozi wa Chadema ambao wenyewe wanafanya biashara na kilimo,huku wakiwarubuni vijana waache ajira ili "wajenge chama" matokeo yake wame kuwa ombaomba.

WakatI Umefika Mbowe u wa ambie UKweli la sivyo siku akili zikiwajia hawatahitaji kingine zaidi ya roho yako.
Kwani kwa sasa vijana na wapenzi wa Chadema wanalishwa na nani?
 
Wito kwa Mbowe,tafadhali wahimize wafuasi wa Chadema kufanya kazi ili wajikimu kwani wengi wanafikiria kutofanya kazi wanamkomoa Rais Magufuli na CCM.

Wimbi kubwa la vijana wanaojifanya wanaharakati na wengine ni watu wazima wameacha shughuli za kiuchumI na ajira wanafanya siasa zisizo na Kipato kwa ahadi hewa toka kwa viongozi wa Chadema ambao wenyewe wanafanya biashara na kilimo,huku wakiwarubuni vijana waache ajira ili "wajenge chama" matokeo yake wame kuwa ombaomba.

WakatI Umefika Mbowe u wa ambie UKweli la sivyo siku akili zikiwajia hawatahitaji kingine zaidi ya roho yako.

Ninavyojua mimi vijana wengi wa chadema ni wajasiliamali siyo kama ccm wanaosubiri buku saba, ukitaka kuona utofauti wakati wa kampeni ccm uzeni zile flana zenu kwa pesa na chadema tuendelee kununua kwa pesa zetu uone nini kitatokea
 
Jumapili ya leo utakuwa umejikusanyia kama shilling 49000/- hivi kwa thread saba ulizozianzisha tangu asbh, kasoro buku tu ifike buku 50 Sihaba komrade njia ya kwenda chooni haitaota nyasi.
 
Bavicha hawajitambui.wanageuzwa kama chapati.Waliambiwa kuna kata funua,hakuna hata anaeizungumzia.
Lowassa nae katangaza mchango wa kusaidia chakula waliokumbwa na tetemeko watu ,hakuna kilichofanyika,tusubiri kesho wataambiwa nini
 
Hawa chadema watu wa ajabu sana,

Wanamtuma Lowasa kwenye mikutano ya kampeni akisimama anawaomba wananchi wachague wagombea wa ccm kwa kura nyingi.

Alafu baada ya matokeo bavichaa wanashangaa kwa nini wameshindwa!!!!

Shame on you
I know. .inasikitisha na kushangaza kwa kweli
 
Bavicha hawajitambui.wanageuzwa kama chapati.Waliambiwa kuna kata funua,hakuna hata anaeizungumzia.
Lowassa nae katangaza mchango wa kusaidia chakula waliokumbwa na tetemeko watu ,hakuna kilichofanyika,tusubiri kesho wataambiwa nini
Hahahaha. ...eti chapati
 
naona lizaboni na jingalao wameuza vitendea kazi hali mbaya mtaani hatuwaoni humu au mpo shift nini ya mwezi kwa mwezi?
 
Wakudadavua, mshauri mwenyekiti wa CCM aachie ajira kwa vijana waliomaliza Vyuo! Wanaadhirika. Hali ni mbaya sana huku kitaa!
 
Serikali haiwezi kuajirI watu wote nje ya siasa Mbowe na Msigwa wanalima nyanya
 
Vijana wa Lumumba wanafanya kazi gani?
Hao wa cdm unawalisha wewe...?
Mbona unarohoroja kama bata jike aliyekoswa koswa kupandwa...
KI jana fanya kazi......mnadanganyiwa "ukamanda" nanyi mnashupaza shingo
 
Wito kwa Mbowe,tafadhali wahimize wafuasi wa Chadema kufanya kazi ili wajikimu kwani wengi wanafikiria kutofanya kazi wanamkomoa Rais Magufuli na CCM.

Wimbi kubwa la vijana wanaojifanya wanaharakati na wengine ni watu wazima wameacha shughuli za kiuchumI na ajira wanafanya siasa zisizo na Kipato kwa ahadi hewa toka kwa viongozi wa Chadema ambao wenyewe wanafanya biashara na kilimo,huku wakiwarubuni vijana waache ajira ili "wajenge chama" matokeo yake wame kuwa ombaomba.

WakatI Umefika Mbowe u wa ambie UKweli la sivyo siku akili zikiwajia hawatahitaji kingine zaidi ya roho yako.
Ni lini vijana wa CHADEMA kwako wewe mbunge wa viti maalum CCM na kukuomba pesa ya chakula?
 
Back
Top Bottom