technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Kuwa mpole mwana. Kesho ni nzuri kuliko janaKama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kupombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2015 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kupombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2015 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
@Bia yetu kama kawaida yako!Ni bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati
Hatakiwi na system
Nathubutu kusema toka nikufahamu leo ndio umeongea point. Hongera.Mbowe aligombea 2005 na alikiletea chama wabunge
Kura laki sita kwa 2005 zilikuwa nyingi tu
Lissu ni sawa na nyuki ikiishauma mtu huwa hairudi ndani ya mzinga, mwache apakatwe na mabeberu kwenye lijumba la kifahari la Nyarandu!Ni bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati
Hatakiwi na system
Ni bora Mbowe ataleta wabunge hata watatu ila mkijikoroga mkampa mropokaji hata diwani hampati
Hatakiwi na system
Mkuu kuna kitu gani huku duniani umewahi kuongoza kikawa na tija hadi leo umshauri MboweKama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi wachaga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia ccm sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Ha ha ha huyo ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya Ziwa MagharibiAfadhali agombee Askofu Bagonza!
Sijui Mbowe haoni aibu?Kama utang'ang'ania kuwania Urais unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupiga kuwa haikuwa sahihi sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15.
Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na ukapata kula laki 6 huu ni zaidi ya utoto unaotaka kufanya bora hata kumpa nafasi Mnyika Au mwanamke lakini sio wewe zama zako zimepita.
Nakuhakikishia hautapata kula milion 1 hata sisi wachaga tutakukataa haiwezekani ukifanye chama kama mali yako binafsi kama unaitumikia ccm sema maana umekihujumu chama vya kutosha.
Huwezi kumuelewa sababu amesema kweliSijakuelewa kabisa