Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
Toka kampeni zianze umekuwa mpole sana, hauna furaha, unafanya kampeni ili kukamilisha ratiba tu body language yako inaongea tatizo nini kaka?

Nimekuzoea ukitema cheche cha kuchangamsha kampeni safari hii mbona umekuwa wa baridi kuliko 2015.

Jana mtu mmoja aliniambia Mbowe alikuwa na furaha 2015 Kwa sababu hizi.

Mgombea wa CHADEMA ndugu Lowassa alikuwa anauzika kwa Wananchi tofauti na huyu aliyepo waliemteua kama zawadi kutokana na kujeruhiwa kwa risasi.

Pia mgombea wa CHADEMA alikuja na pesa ya kampeni Kwahiyo Mbowe hakutumia pesa za CHADEMA katika kampeni tofauti na mgombea wa mwaka huu kapewa pesa ya kukidiwa ndege tu kule alikotoka na pesa zingine atapewa akishinda Urais.

Mgombea wa 2015 alikuwa na urafiki na wakuu wa wilaya na wakurugenzi hali iliyowasaidia CHADEMA kupata wabunge kiasi.

Km tunavyojua Mbowe alitaka sana Membe ndio awe mgombea wa CHADEMA kwasababu angekuwa ni assets kwa CHADEMA ila Mbowe safari alishindwa nguvu na makamanda wasiokuwa na jicho pana kisayansi.

Pole sana Mbowe ningekushauri urudi jimboni kwako ukakae kule upige kampeni mnaweza kukosa jimbo hata mmoja mwaka huu, sioni jimbo gani mtashinda mwaka huu.

Pole Mbowe umeletewa mgombea ambaye sio chaguo lako.
 
Mbowe anajiamini sana, anatuma ujumbe kwenu na yule Sabaya kwamba Hai ni mali yake, ameacha kujifanyia kampeni jimboni kwake anazunguka na Lissu mikoani, naamini anajua Hai ni nyumbani kwake hivyo hatishwi na yeyote, atafanya kampeni hata wiki mbili na atashinda.

Kusema Lissu hauziki ni upofu wa macho na akili.
 
Mkuu lissu hauziki lema aliingia na kiwewe baada ya watu wachache kuhudhuria mkutano akaamua kutumia za Lowasa 2015
Lissu ni white elephant, Mbowe anajuta

Mbowe amelikatia tamaa jimbo la hai ameona asitumie pesa na ubunge akose
Mbowe anajiamini sana, anatuma ujumbe kwenu na yule Sabaya kwamba Hai ni mali yake, ameacha kujifanyia kampeni jimboni kwake anazunguka na Lissu mikoani, naamini anajua Hai ni nyumbani kwake hivyo hatishwi na yeyote, atafanya kampeni hata wiki mbili na atashinda.

Kusema Lissu hauziki ni upofu wa macho na akili.
 
Acha porojo kuwa mkweli je ulikwepo lissu akipewa fedha za kukodiwa ndege? Je Uliona mkataba kuwa akishinda Atapewa pesa?
Je, Lowasa ndye alikuwa anawapa hela za kampeni 1995, 2000, 2005 na 2010?

Mwisho anapewaje pesa za kampeni kama atashinda ni za nini sasa kama mtu kashinda?
 
Back
Top Bottom