Ni jambo jema sana kwa afya ya upinzani kama CHADEMA wamwdhamiria kuvishirikisha vyama vingine vya upinzani katika nafasi yao kama "Official Opposition Camp". Upinzani imara utasaidia sana kuleta maendeleo ya kweli ya Nchi na kuifanya Serikali na Chama tawala visilale usingizi.
Itapendeza kama Upinzani watamsimamisha candidate moja kogombea nafasi ya Uspika. Hamadi Rashid wa CUF au Marando could be ideally candidates.
Strategically CHADEMA watafanya vema wakimpitisha Hamadi Rashid kwani itatoa picha nzuri kwa upinzani kuwa CHADEMA wako serious kuunganisha opposition. Afterall, si rahisi kushinda unless miracle happens!
What i m trying to count on ni kuwa, iwapo ccm watalazimisha kumpitisha chenge kama mgombea wao, kuna uwezekano mkubwa wa wabunge wengi wa ccm kumpigia mgombea tofauti na wa kwao. (wana ccm wengi tu wamewapigia opposition candidates ktk uchaguzi ulioisha). Hivyo basi, CHADEMA wakimweka Marando, au wamsupport Rashid, anything may happen.
Angalizo tu, Rashid as an individual sina tatizo naye, hajawahi kuweka upinzani wake in doubt. kitendawili ni kitu gani kitakuja baada ya CUF kuuungana ccm hivi karibuni, can they be trused? wanaweza wakauza timu hawa. It's better for CHADEMA to go it alone, (kwenye uspika) kuliko kuwategemea CUF.

Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA amesema, Chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani bungeni vyenye nia ya dhati ya kufanya hivyo.
Amesema, kwa maana hiyo CHADEMA imeacha milango wazi katika ushirikiano wa kumpata mgombea Uspika toka kambi ya Upinzani na pia kupata Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
Kamanda Mbowe amesema, CHADEMA imedhamiria kutumia nafasi yake Bungeni kama official opposition party kuiwajibisha serikali kwa nguvu zaidi hasa katika suala zima la matumizi mabovu ya pesa na kuleta maendeleo. Amesema, kazi iliyofanywa na wabunge wa CHADEMA katika Bunge lililopita itaendelezwa kwa nguvu zote katika Bunge la sasa.
Kamanda Mbowe aliyasema hayo katika mahojiano na Elisha Elia mtangazaji wa TBC1 muda mfupi kabla ya yeye na Wabunge wengine wa CHADEMA kuelekea Dodoma tayari kwa shughuli zitakazoanza kesho.
Mbowe mesema Kamati kuu ya CHADEMA itakutana Dodoma na kujadili masuala muhimu kuhusiana na Bunge hili likiwepo suala la uteuzi wa Mgombea USpika na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani.
Baada ya mahojiano hayo Mh. Mbowe, Dr. Slaa na Wabunge wa CHADEMA waliongozana kwa magari kuelekea Dodoma huku Bendera za CHADEMA zikionekana zinapepea.
Mpiganaji Mkuu na Kamanda wa Majeshi ya Ardhini Dr. Wilbrod Slaa alionekana akiongea na Mzee wa Siku Mteule Ndesamburo huku wote wakionekana wenye afya njema na huku sura ya Dr. Slaa ikiwa na tabasamu lenye haiba.
Source: TBC1 News Bulletin ya Saa 2.00 Usiku.
Naomba kuwakilisha.
Ni kweli Chadema needs to be so cautious in this matter,vinginevyo italeta matokeo yasiyotarajiwa.Nafikiri itakuwa vizuri watathmini upepo ukoje pia kwa hao wabunge wa ccm ili waweze kujua kama mpango wao unaweza kufanikiwa vinginevyo bora wao wasiweke mgombea wakaweka support kwa mgombea wa ccm aliye bora zaidi.Mfano kwa wagombea wa ccm waliojitokeza ni bora six akarudi hao wengine hawana maana kabisa.What i m trying to count on ni kuwa, iwapo ccm watalazimisha kumpitisha chenge kama mgombea wao, kuna uwezekano mkubwa wa wabunge wengi wa ccm kumpigia mgombea tofauti na wa kwao. (wana ccm wengi tu wamewapigia opposition candidates ktk uchaguzi ulioisha). Hivyo basi, CHADEMA wakimweka Marando, au wamsupport Rashid, anything may happen.
Angalizo tu, Rashid as an individual sina tatizo naye, hajawahi kuweka upinzani wake in doubt. kitendawili ni kitu gani kitakuja baada ya CUF kuuungana ccm hivi karibuni, can they be trused? wanaweza wakauza timu hawa. It's better for CHADEMA to go it alone, (kwenye uspika) kuliko kuwategemea CUF.
hembu nifahamisheni, dr. Slaa anakwenda dodoma kama nani? Kwani yeye ni mbunge? Na inamaana sasa slaa amekubali matokeo na kuitambua serikali ya ccm? Kama hajaitambua bado inakuaje chadema waende dodoma? Unapohudhuria vikao vya bunge ni lazima ujadili bajeti ya serikali na kama huitambui serikali yenyewe hapo ni kichekesho!!!
chadema ni lazima wawe na msimamo ili wananchi tusiyumbe! Kama slaa hajakubali matokeo mbona anaelekea dodoma kwenye bunge?
naomba ufafanuzi hapa!!
Ni kweli Chadema needs to be so cautious in this matter,vinginevyo italeta matokeo yasiyotarajiwa.Nafikiri itakuwa vizuri watathmini upepo ukoje pia kwa hao wabunge wa ccm ili waweze kujua kama mpango wao unaweza kufanikiwa vinginevyo bora wao wasiweke mgombea wakaweka support kwa mgombea wa ccm aliye bora zaidi.Mfano kwa wagombea wa ccm waliojitokeza ni bora six akarudi hao wengine hawana maana kabisa.
Thank you very much. That is good news. Bado tunasubili statement ya Dr. Slaa (Rais wa walala hoi)