Mbowe: Tumechoka!

WE NI KADA FEKI
Umejipandikiza ukada ili upenyeze sumu yako kirahisi.mtiririko wa matamshi yako unadhihirisha wazi wazi.

Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?
 
Mkuu bora lawama kuliko fedhea. Ikumbukwe kuwa shuguli za kisiasa hapa nchini zimepigwa marufuku kinyume na matakwa ya katiba
 
Sasa umechoka halafu. mimi ni mmoja wa watu wasiopenda kuonewa hata kidogo. lakini kiongozi kusema tumechoka na nani mliechoka naye. aliechoka ni wewe tu. jiuzuru si umechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…