Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,498
- 1,344
Wawe na nidhamu huwezi kuitwa Mheshimiwa kama huwezi kutawala hasira, Mnamburuta mama wa watu-RAS wa Dar na kuchana nguo zake, Mbona huo udhalilishaji wa huyo mama hamulaani?
Magufuli si Kikwete hamna cha Juisi.
Watanzania wamechoka kutawaliwa Na ccm miaka 54 sasa, tumewachokaNa Sisi tumechoka yeye kuendelea kuwa mwenyekiti wa chadema TANGU miaka nenda rudi.
Nilitaka atoe tamko kuwa wananchi tufanye nini ili kukomesha udhalimu huu na udhalilishaji.....Ulitaka aongee nini mkuu?
Mlishasema mkishindwa kuwatoa CCM madarakani 2015, basi hamtakaa muitoe.Watanzania wamechoka kutawaliwa Na ccm miaka 54 sasa, tumewachoka
Msichoke yakhe! Fuateni nyayo za wazanzibari. Tunamwachia munguMwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
KILA KOMENTI KWAKO INAHUSU DINI.BLACK IS DEADWapi deusi kibamba na genge lako? Au kwa kuwa ni wa dini yetu ndo hatutoi hata matamko? Wapi kijo bisimba? Wapi tamwa, taula, wapi vituo vya haki za binadamu, demokrasia inakanyagwa mko kimyaaaa! Mbona kipindi cha yule muislamu ilikuwa kama mmepakwa pilipili? Anyway endeleeni na kulindana
Yupo Arusha,hawezi kusema maana ndiye aliyetoa order.Na pia watasema haimuhusu inamuhusu Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Kama kadanganya basi kwa watu wenye akili timamu wangeenda mahakamani kuthibitisha kama hati ni ya kweli au lah ila yawezekana Wabunge wengi hasa wa upinzani yawezekana ni watumia madawa ya kulevya au bangi.Alichokifanya ni sawa? Kudanganya kuna zuio la mahakama kubwe sio kweli, mbona anaogopa kivuli chake
Mpe za macho huyo, maana anatumia kamasi kuwaza badala ya ubongoSiku watanzania watakapo Badilika utajuta wewe chizi huwezi kujilinganisha na Mbowe wewe
Acha ukilaza hizo ni siasa tu, ila haki lazima iachwe kuwa haki isichezewe unaleta ushabiki hapa?
askari wako wewe una Askari?
MahumuSasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Kwa kweli wamechoka,wapumzike tu.Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Unaaongea kama umimeza kokotoMbowe amekuwa dhaifu mno, kama uongozi wa chama umemshinda aachie damu changa akina Mnyika. Kiongozi wa chama cha upinzani hatakiwi kuwa anakubali kila dhuluma anayofanyiwa na chama tawala na polisisiemu na kuishia kutoa matamko yasiyo na tija.
Itisha maandamano Mbowe, Lijualikali amekataliwa kupiga kura, huku Dar wabunge wanadhalilishwa wewe unaleta matamko yasiyo na tija. Hakuna hata tamko moja limeleta faida. If you cant beat them join them achia chama watu wa kazi
Nyumbu wa lumumbahivi mtu ukipewlekwa kituoni kwa fujo ulizofanya ni udhalilishaji...
kama hutaki kudhalilika tii sheria ... usipige mtu... wamekimbilia mahakamani na nyinyi kimbilieni hukohuko si mnawanasheria..?
Yote tisa kumi kanichosha alivyogeuza kibao eti anamshanga MH:MAGUFURI kufukuza watu pasipo kuwapa nafasi ya kujitetea...Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwikwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu

Duh! Makubwa haya. Mbona na wewe unaandika kama unatumia ........................Kama kadanganya basi kwa watu wenye akili timamu wangeenda mahakamani kuthibitisha kama hati ni ya kweli au lah ila yawezekana Wabunge wengi hasa wa upinzani yawezekana ni watumia madawa ya kulevya au bangi.