Wewe kenge nini! Watu wemekufa na wengine kuumia kisha unataka kauli ya haraka tu? Nenda kamuulize Mwigulu a.k.a Savimbi ile kauli ya Msipotuchagua hakika mtakufa alikuwa anamaanisha nini.
Mkuu Hamy D unadhani kweli jeshi la polisi likipewa ushahidi na viongozi wa chadema wataufanyia kazzi kiuadilifu,kama jeshi la polisi lingekuwa halitumiwi sidhani kama mrusha hilo bomu angeweza kutoka bila kukamatwa kwenye ule umati wa watu pale,kwanini bomu lilipuliwe badala ya polisi kutoa msaada wao wapige mabomu ya machozi,Mkuu CCM wangekubali tu lolote ambalo lingetokea ktk uchaguzi kwa heshima yao,chaguzi bado zipo nyingi na kama wana nia ya kutumikia wananchi basi wajipange upya ktk kutekeleza ahadi zao na wala hawatakuwa na mshindani......tatizo kubwa ninaloliona ndani ya ccm ya sasa uongozi dhaifu,naamini hata wengine ndani ya ccm wanalijua hili ila ndio pakusemea hakuna.
Kweli kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa ndani ya gereza la fikra.
Kwahiyo sasa hivi hamtaki tena kauli wala ushahidi wala kujua anayo yajua Mbowe kuhusu tukio la mlipuko?
atoe tamko wakati wanajua wao ndo walipuaji
Mbowe akizungumza katika hospitali ya Selian jana aliwataka wanachama wa chama hicho watulie kwa sababu tukio hilo ni kubwa na lina mambo mengi ndani yake.
Alisema wanachofanya sasa ni kuhakikisha kuwa watu waliojeruhiwa katika tukio hilo wanapata matibabu kwanza.
Mbowe aliwataka watu wote waliopotelewa na ndugu kufika katika hospitali zote za mji wa Arusha kutambua ndugu zao waliojeruhiwa.
Alisema Chadema itagharimia matibabu ya watu wote waliojeruhiwa katika tukio hilo.
Mbowe alisema chama chake kwa sasa hakiwezi kutoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo la bomu kwa sababu wanafuatiliwa na baadhi ya askari polisi na maofisa wa Usalama wa Taifa.
My take;
Mhe Mbowe, watanzania wote tungependa kujua hayo mambo mengi yaliyo ndani ya tukio la mlipuko uliotokea kwenye mkutano wako wa kufunga kampeni ni yapi hasa.
Ni vyema ukaweka hisia zako juu ya jeshi letu la polisi pembeni, na ushirikiane nao kuwapa ushahidi usio na shaka ili waweze kuwabaini wahusika wakuu wa tukio hilo la mlipuko.
P, sijui kwanini ile ajali ya pikipiki ulipona, bora ungekufa tu. Mzushi mchonganishi mkubwa. Na siku zako zinahesabika
Na kama kweli Mwigulu alitamka maneno hayo kwenye kampeni. na hivi sasa watu wamekufa.Wewe kenge nini! Watu wemekufa na wengine kuumia kisha unataka kauli ya haraka tu? Nenda kamuulize Mwigulu a.k.a Savimbi ile kauli ya Msipotuchagua hakika mtakufa alikuwa anamaanisha nini.
Hamy D, bado uko kwenye siasa? Tuache tuhudumie wenzetu kama unataka tamko mtafute mwigulu au nape