Mbowe, TLS mko wapi kutoa taarifa za Lissu?

CHADEMA gizani....walishapoteza muelekeo siku nyingi....sasa hivi wamebaki na UKUNGURU TU!
 
Ni bora hao Kenya raisi katoa vitisho na watu wamempinga na hakuna aliyewakamata wapingaji wa tamko la raisi wala kupigwa risasi. Hiyo ndiyo demokrasia - kupingana kwa hoja.

Hapa kwetu ukipinga kauli ya raisi unajua ni kitu gani kitakupata? Watu wasiojulikana unawajua? Nisan nyeupe unazijua?
 
Wao wanasasidiwa hadi na SA kutoa matamuko ila kwa hili limewakaba shingoni..Haha..Nacheka zangu afu fuuuuuuuu
 
Ni kwamba si kila jambo la nchi jirani lazma Cdm itoe tamko....mda mwingine huwezi kuingilia mambo ya ndani ya nchi ambayo si yetu
.
 
Jibu hoja!
Inaonesha jinsi gani ulivyo misinformed! Baadhi ya hao majaji wamehamisha familia zao kwa hofu baada ya kuomba ulinzi na kunyimwa. Sijui hili unalisemaje Bavicha
 
TLS yenyewe unaishutumu wakati sisi tunawaziba midomo viongozi wake. Wewe unataka wakosoe ya Wakenya wakati ya huko kwenu Tanzania mmewakataza wasiyakosoe!? Watu wasiojulikana + silaha za kivita hii ndio Tznia iliyobaki.
 
Kumbe na ninyi inawauma? nilini uliwahi kulalamika kutolewa kwa vitisho kwa mahakama na bunge letu na malaika wa ccm?
 
has it been confirmed??: who are watu wasiojulikana?
Who's the owner of Nissan ?
 
Haitatokea, watakua wamejilaumu, au wamejishutumu wenyewe, impossible!
 
Samahani naomba kuuliza, unatumia nini kufikiria? Maana ubongo wa kawaida wa mwanadamu hauwezi kutoa hiki ulichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…