Mbowe, TLS mko wapi kutoa taarifa za Lissu?


Mbona Ccm mna wasiwasi hivi? Lissu kaishinda roho ya umauti.
 
Wewe ni Member wa TLS? Kama sio chapa lapa, sisi Members tunapata updates za kutosha Juu ya Maendeleo, michango tumechanga hadi Simu zinashindwa kuendelea kupokea Hela, sijui hii spinning unayoifanya hapa ni kwa kutumwa au?
 
Wewe ni Member wa TLS? Kama sio chapa lapa, sisi Members tunapata updates za kutosha Juu ya Maendeleo, michango tumechanga hadi Simu zinashindwa kuendelea kupokea Hela, sijui hii spinning unayoifanya hapa ni kwa kutumwa au?

Kwani TLS ni chama cha mkobani? Why do they take this matter kwa siri hivyo? Wanaogopa nini? Mbona mengine yote wanakuwa wazi kabisa, na pengine kunakuwa live media coverage ya matukio yao. Kutokuwa member hakumuondolei mtu haki ya kuhoji. Hii ni nchi yetu sote, isiwe kuwa nayo imeingiliwa kisiasa wakawa wanatudanganya hapa kwamba wako huru.
 

Peleka ushahidi wako Polisi bro. It's simple like that!!! Tena Polisi wana shauku kubwa sana ya kuwajua "WASIOJULIKANA", hope siku ukiwapelekea taarifa watawashambulia kama mpira wa kona.
 
Peleka ushahidi wako Polisi bro. It's simple like that!!! Tena Polisi wana shauku kubwa sana ya kuwajua "WASIOJULIKANA", hope siku ukiwapelekea taarifa watawashambulia kama mpira wa kona.
Ushahidi ni huo- CCTV camera za clouds zinaonyesha wazi hawa watu. Yule aliyemtolea Nape bastola mbele ya polisi wanamjua! Wale watekaji wa Roma mkatoliki anawajua Makonda.
Polisi anzieni na Makonda pls pls!! Makonda alikuwa na wale walioenda CLOUDS! ushahidi gani tena!!?? Makonda vile vile alikuwa Dodoma wakati Lissu anapigwa risasi. Narudia tena polisi hawana haki ya kumhoji yeyote kama hawatashughulika na Makonda
 
Ulitaka waseme nini? Nyalandu ameeleza Hali ya mgonjwa mnataka kila siku kuwe na taarifa ili iweje? Ni nini mnapenda kusikia? Zoezi la michango linaendelea ndio habari muhimu kwa sasa. Next....
 
soma vizuri dada utaelewa, ameandika points sana apo, unajua ukitaka kuelewa kitu, go outside of the box....ila ukiwa biased utafeli
Wewe ulitaka haelewe kama wew? Ndo matatizo ukiweka mada tazamia michango tofauti
 
Ulitaka waseme nini? Nyalandu ameeleza Hali ya mgonjwa mnataka kila siku kuwe na taarifa ili iweje? Ni nini mnapenda kusikia? Zoezi la michango linaendelea ndio habari muhimu kwa sasa. Next....

Kwani Nyalandu ndo msemaji wa hizo taasisi bro? Taarifa rasmi lazima zitoke ndani ya taasisi hizo not otherwise. Nyalandu ni umbeya tu ndo umemsumbua na kutaka political popularity. Na taarifa zenyewe anazitolea instagram!!!
 
watoe au wasitoe taarifa hakuna ugomvi hapo..
 
watoe au wasitoe taarifa hakuna ugomvi hapo..

Hakuna aliyesema kuna ugomvi, lakini TL ni kiongozi wetu tuna haja ya kujua maendeleo yake. Mbona speed ya kuomba michango ni kubwa sana, au ndo yale yale ya kuwanyooshea vidole watu eti wamekula rambirambi?
 

Jamani mkimuona huyu mleta mada mripotini haraka kituo cha pilisi anatafutwa ametoroka mirembe na ameshaua mtu mmoja hivyo ni mtu hatari na kwa sasa yuko maeneo ya kati yamorogori na iringa ktk pori la iyovi,
 
Hili si jambo la kitaifa, limekaa kisiasa zaidi, kumbuka TLS is a non political affiliate, its a neutral organ
Kigezo cha jambo kuwa la kitaifa ni nini? Halafu si CCM ambao kila siku hung'ang'ania kumwita Mwenyekiti wao kwa cheo cha Urais kwanza kabla ya kutamka ni mwenyekiti wa chama chao? Sasa cha ajabu nini Lissu pia kutolewa tamko kwa madhila aliyofanyiwa?

Au Lissu wa CHADEMA ndiye kashambuliwa kwa Risasi wakati yule wa TLS yupo salama usalimini?
 

Sasa mimi nikujibu nini kama wewe umeshakuja na majibu yako?
 
Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges

Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa Tanzania wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.

Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimya katika hili.
Hata CHADEMA nao kimya huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka wakipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"

TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?

CHADEMA na nyinyi vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…