Mbowe, TLS mko wapi kutoa taarifa za Lissu?

Pumba!
 
Hakuna kutoa taarifa za Lissu tena, mnazitaka za nini/ Mjipange kummaliza?? No, MUNGU atamponya na nyie mtaendelea kueweweseka hivyo hivyo tu
 

Pole sana.Tshirt Pray4Lissu ni zaidi ya SMG
 
Mlifurahia ile taarifa ya Mashinji jinsi ilivyokuwa imejaa kukata tamaa kuhusu afya ya Lissu mkatamani mwendelee kusikia taarifa mbaya mbaya kama hiyo. Imekula kwenu Lissu atapona na anawafaham.....

Ile iliwekwa MAKUSUDI ili tuwajue 'WASIOJULIKANA"
 
Huu ujinga wa CCM kutaka kuligeuza suala la kushambuliwa kwa Lissu kama ni mpango wa CHADEMA utaisha lini? CHADEMA wanachapisha fulana "Pray for Lissu" Polisi wanatumwa na viongozi wa CCM kuwakamata. Ni nani anayeweweseka kati ya CHADEMA na CCM?
Hili si jambo la kitaifa, limekaa kisiasa zaidi, kumbuka TLS is a non political affiliate, its a neutral organ
 
Kwani hana maisha mengine nje ya siasa? Ni ngumu ku-conclude kwamba ni siasa tu ndo ilipelekea that kind of attack. Kama ni issue nyingene basi Attackers walikuwa very smart kwani walijua tu hata kama jambo linahusu issue nyingine watu wangeemea kwenye siasa tu
 
Tunajua wengi mnaoulizia sana hali ya Lissu ni mahasimu wake mnajipanga ili mumalize kiporo chenu mlichobakisha pale Dodoma , mashetani wakubwa nyie.
 
Majanga: Tanzania yaburuzwa Mahakama ya Usuluhishi kwa kuvunja Mkataba wa Mradi uliokuwa ufanyike Bagamoyo
 
Mbona hilo liko wazi, chagadema ni wahuni waliopitiliza
 
Mlifurahia ile taarifa ya Mashinji jinsi ilivyokuwa imejaa kukata tamaa kuhusu afya ya Lissu mkatamani mwendelee kusikia taarifa mbaya mbaya kama hiyo. Imekula kwenu Lissu atapona na anawafaham.....
Kundi la kizazi cha kuhoji wana taarifa za uhakika
 
Mtahangaika sana: Trust me Makonda ni lazima aingie kwenye net! Na atabinywa hadi amtaje Sizonje na wale wasiojulikana tunawajua wale waliovamia CLouds! waliomteka Roma mkatoliki, waliomuua/kumteka Ben saanane! aliyemtolea Nape bastola. Halafu hawako professional hata kidogo!! CCTV za clouds zipo!! Hatudanganyiki! Ni makonda ni makonda ni makonda!!
 
Mchawi mkubwa. Unataka taarifa za Lissu huku kimoyomoyo waombea afariki? Wakumbuka yaliyomkuta Sheikh Yahya? Basi usishangae ukatangulia wewe kabla ya Lissu
 
Siku zote taarifa sahihi hutolewa eneo la tukio sasa wewe unataka tuamini redio mbao.
 
POINT IKO WPI? UGORO TU
duuuuh ebana ee, kumbe na ww pia umekurupuka kuisoma ee, bas isome tena...ukiwa unasoma ujumbe tafuta connection ya mwandishi na www na hali halisi, otherwise ndo mana waTz wanafeli mashulen cus wanasoma pasipo kuelewa/akielewa kiseemu kimoja tuu bas anatumia kama weapon ya kukashifu maada nzimz...soma tena ukizingatia ayo nlokwambia...acha kiherehere
 

Hakuna hoja hapa ya kujibu, unastahili matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…