Mbona Lumumba mna wasiwasi hivyo tulieni, kama mnajijua mmehusika mtajulikana tu na kweli tunaona vitendo vyenu vinadhihilisha, mlifikiri kafa bado mnaulizia kama yuko hai mnatia aibu sana, ni Mungu pekee atakayeruhusu roho ya Lissu ipumzike siyo Bashite wala Sizonje.Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.
Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.
Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.
TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.
MY TAKE
Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
Lumumba mnavyohangaika hadi huruma, mmeshindwa la dereva mtawaweza wanasheria? after all mnamtaka TLS waseme nini kwani wao ni madaktari au ndio wanamuuguza, walishatoa tamko la kulaani inatosha kama madhehebu yalivyolaani.Amani iwe nanyi,.ni tkribani cku10 zimepita tangu mh tundu lisu ashambuliwe kwa risasi nyingi na watu mpaka leo hawajulikani wanaitwa watu wasiojulikana. Nimesikitishwa na ukimya wa chama cha wanasheria wa tanganyika yaani tls. Mbona km kunasintofahamu baina ya wanasheria hawa? Inawezekana tls kuna ukada wa ccm na chadema? Rai wenu nusura auwawe lakini ushirikiano wenu ni mdogo ni kama mlipenda na kufurahia yaliomtokea tl.
Polisi nao maskini, wamemezwa kabisa na CCM
Mahakama nao maskini, wamemezwa kabisa na CCM.
Bunge nao maskini, wamemezwa kabisa na CCM
Na ni bora hawa wote wakaueleza umma kuwa wao na CCM ni damu damu.
Ambalo hutaki kuelewa ni kwamba wakati Mh. Lissu anapata matatizo, hakuwa kwny shughuli za TLS, na worse enough, kwa namna yyt ile, hakuna sababu iliyopelekea apigwe risasi kma rais wa TLS, bt kma mtu wa upinzani.
Usiwe na waswas mkuu.
soma vizuri dada utaelewa, ameandika points sana apo, unajua ukitaka kuelewa kitu, go outside of the box....ila ukiwa biased utafeliUmeandika pumba nyingi sana mbona asbhi asbhi yote hii mzee alafu jumatatu?
soma vizuri dada utaelewa, ameandika points sana apo, unajua ukitaka kuelewa kitu, go outside of the box....ila ukiwa biased utafeli
KAMUULIZE MR. TARATIBO aka POLEPOLE[emoji84]Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.
Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.
Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.
TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.
MY TAKE
Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.
Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.
Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.
TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.
MY TAKE
Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
Mkuu watu wasiojulikana wametajwa na huyu mwandishi wa kenya mbona police haijamuhoji mpaka leo.?Lumumba mnavyohangaika hadi huruma, mmeshindwa la dereva mtawaweza wanasheria? after all mnamtaka TLS waseme nini kwani wao ni madaktari au ndio wanamuuguza, walishatoa tamko la kulaani inatosha kama madhehebu yalivyolaani.
soma vizuri dada utaelewa, ameandika points sana apo, unajua ukitaka kuelewa kitu, go outside of the box....ila ukiwa biased utafeli
ASSSante SHANGAZI YETU WEEE!![emoji12]soma vizuri dada utaelewa, ameandika points sana apo, unajua ukitaka kuelewa kitu, go outside of the box....ila ukiwa biased utafeli
Ametumwa na wasiojulikana kufuta nyayo zaoUmeandika pumba nyingi sana mbona asbhi asbhi yote hii mzee alafu jumatatu?
KilazaHivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.