Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,380
Magufuli ndio funga kazi ana makampuni ya ujenzi kabisa, na ndege zote kalipa cash ili kuvuta ile commission ya middle Man.Pole pole yeye kaiga sauti ya Nyerere kwny kuongea
Joseph Butiku yeye kaiga kukunja uso kwny paji la Uso ila Bepari anaemiliki ma shule
Warioba ana kimpango chake nakihifadhi
Usanii usanii mwingi tu
Naona madelu ametunziwa heshimaKatika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.
Na kadhalika...... nk!
Bado hangover ya ujamaa imetuning'iniaUjamaa ni mfumo wa kitapeli tu. Kwa Hili mwalimu alipotea na kutupoteza, hakujuwahi kuwapo mtu mjamaa labda Yesu tu.
Kutokuwa na nchi ambayo ni 100% haimaniishi hakuna nchi za kibepari na nchi za kijamaa. Nchi ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake unategemea nguvu za soko hiyo ni nchi ya kijamaa, nchi ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake inaamuliwa na wanasiasa hiyo ni nchi ya kijamaa. Kipi huelewei hapo?Hakuna nchi duniani ambayo ni capitalistic 100%..., Hakuna; Haya mambo ni theory on paper...,
Hata marekani unapoweza ukaita they are capitalists lakini kuna welfare kuzidi hata huku..., England tunakuwaona ni mabepari angalau kule kuna NHS (Bima kwa Wote) kuliko huku tunakojiita wajamaa....
Dunia inapoelekea Capitalism per se can never work.., kutakuja kuwa na system ya kuchukua the best in both words... Pia vision ya nyerere haikuwa kilichotokea..., Yeye alitaka Ujamaa na kujitegemea Yaani the Commanding Heights of the Economy kuwa kwenye mikono na faida ya wote..., ila kilichotokea ni kulikuwa na Capitalists in Socialists Cloths..., As Human Nature will Have it....
Kwahio duniani pote what we have is Mixed Economy
China inaangukia wapi na Sweden inaangukia wapi ? Na Market Socialism unaielewaje ?Kutokuwa na nchi ambayo ni 100% haimaniishi hakuna nchi za kibepari na nchi za kijamaa. Nchi ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake unategemea nguvu za soko hiyo ni nchi ya kijamaa, nchi ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake inaamuliwa na wanasiasa hiyo ni nchi ya kijamaa. Kipi huelewei hapo?
China na Sweden yote ni mataifa ya kibepari.China inaangukia wapi na Sweden inaangukia wapi ? Na Market Socialism unaielewaje ?
Tena usiniambie kabisa ya mambo ya soko ku-determine prices..., ingekuwa hivyo vitu kama minimum wage n.k. visingekuwepo.., au kuitana walanguzi au hiii mitandao ya siku hizi ni wezi tusingesikia....; au sukari imepanda walanguzi wanaficha bidhaa...
Daaah mkuu leo umenichekesha SanaKatika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.
Na kadhalika...... nk!
China inaangukia wapi na Sweden inaangukia wapi ? Na Market Socialism unaielewaje ?
Tena usiniambie kabisa ya mambo ya soko ku-determine prices..., ingekuwa hivyo vitu kama minimum wage n.k. visingekuwepo.., au kuitana walanguzi au hiii mitandao ya siku hizi ni wezi tusingesikia....; au sukari imepanda walanguzi wanaficha bidhaa...
WanafikPolepole anasema yeye ni Mjamaa ila cha kushangaza anajisifia kutembea na Vieteee
Siku mojamoja unakuwa na akili kijanaKatika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.
Na kadhalika...... nk!
Uongozi ni kipawa siyo elimu ya darasani au taaluma.Yawezekana unachosema ni kweli, lakini kwa tamaa ya madaraka ameiharibu sana Chadema.
Sasa Chadema ni chama cha wajamaa. Walitushawishi wakati wa ujana wetu tujiunge na chadena kwa kuwa tuliamini ubepari ndio njia halisi ya mwanadamu hasa baada ya kufa na kusambaratika Soviet Unioni.
Leo tuna makamanda wavaa makombati kwenye chama na hatuna tofauti na wajamaa CCM, kwa hali hiyo ni bora tujiunge CCM ili ijulikane moja, kuliko kuwa Popo: myama wakati huo huo ndege.
Matajiri tumekuwa tunataka serikali itusaidie, wakati falsafa ilikuwa sisi wanachama tuisaidie serikali kwa kuionyesha njia bora ya kutawala bila kutamani mali ya wananchi.
Sasa wote tunaonekana tunakimbilia mabaki kwenye jaa kama wajamaa wa CCM wakati hatuna ulazima.
Badala ya kuvaa suti tunabaki kung'ang'ania makombati kama wafanyakazi wa viwandani waliokuwa wawe wapagazi wetu.
Wacha Mbowe afungwe chama kirudi katika ubepari. Kwanini kujaza watu wenye elimu isiyo eleweka katika uogozi wa juu wa Chama ili afanane nao kielimu kwa kuogopa ushindani wa maarifa na nguvu ya mali kwenye chama.
Awe huru bila ushindani kuwatumikisha viongozi wenye elimu ya wasiwasi na maisha tegemezi ili iwe rahisi kuwatumikisha na kuishi kwa rehema za Mwenyekiti.
Chadema ni chama cha mabepari na wenye kuamini falsafa ya kutajirika. Walala hoi waachwe na chama chao.
Mfyuuuuuuuuu.
Ujamaa ni mfumo wa kitapeli tu. Kwa Hili mwalimu alipotea na kutupoteza, hakujuwahi kuwapo mtu mjamaa labda Yesu tu.
Kama Ubepari ni Laissez fare basi China Communist party inaamua na ina mkono kwenye almost all industries..., Kama Ujamaa ni Welfare Sweden ni Nchi yenye most Welfare Benefits.... Tofautisha Socialism na Communism na ndio maana nikasema duniani hivi sasa kuna mixed economies... na ndio maana nikakuleta kwenye swali je Market Socialism inaangukia wapiChina na Sweden yote ni mataifa ya kibepari.
Mataifa pekee ya kijamaa yaliyobaki ni Cuba na Korea ya Kiduku.
Kama Ubepari ni Laissez fare basi China Communist party inaamua na ina mkono kwenye almost all industries..., Kama Ujamaa ni Welfare Sweden ni Nchi yenye most Welfare Benefits.... Tofautisha Socialism na Communism na ndio maana nikasema duniani hivi sasa kuna mixed economies... na ndio maana nikakuleta kwenye swali je Market Socialism inaangukia wapi
Ndugu johnthebaptist ,napenda sana siku nikiwa Dar nikutafute tufahamiane. Moja ya wana Lumumba wachache ambao hawajakabidhi akili zao kwenye geti la walinzi wa "Nyumba Nyeupe" pale karibu na Bhanji.Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.
Na kadhalika...... nk!
Ni kweli amepata kwa jasho lake. Kumbuka kilo za cocaine alizouza pale Mbowe Hotels/ Hard Rock Cafe/ Bikucanas ndiyo utajua ameharibu vijana wa kitanzania wangapi.Tofauti iko wazi!! Mbowe amepata kwa jasho lake na wazazi wake! wengine ni majizi ya kodi za wananchi. Ni shuruti mwizi ajifiche kwenye kivuli salama!!
Ubepari ni nini ?Ubepari sio Laissez fare na Ujamaa sio Welfare.
Shida ni hii ya kula fedha za walipa kodi na kujifanya ndio utajiri wao. Ule ni wizi kama wizi mwingine. Hakuna biashara ya kula fedha zisizo kuhusu ikawa biasharaKatika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.
Na kadhalika...... nk!