Mbowe siyo mnafiki ameiishi itikadi ya Ubepari tokea ujana wake tofauti na CCM wengi wanaojifanya Wajamaa kumbe fix tu

Pole pole yeye kaiga sauti ya Nyerere kwny kuongea

Joseph Butiku yeye kaiga kukunja uso kwny paji la Uso ila Bepari anaemiliki ma shule

Warioba ana kimpango chake nakihifadhi

Usanii usanii mwingi tu
Magufuli ndio funga kazi ana makampuni ya ujenzi kabisa, na ndege zote kalipa cash ili kuvuta ile commission ya middle Man.
 
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.

Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.

Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.

Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.

Na kadhalika...... nk!
Naona madelu ametunziwa heshima
 
Hakuna nchi duniani ambayo ni capitalistic 100%..., Hakuna; Haya mambo ni theory on paper...,

Hata marekani unapoweza ukaita they are capitalists lakini kuna welfare kuzidi hata huku..., England tunakuwaona ni mabepari angalau kule kuna NHS (Bima kwa Wote) kuliko huku tunakojiita wajamaa....

Dunia inapoelekea Capitalism per se can never work.., kutakuja kuwa na system ya kuchukua the best in both words... Pia vision ya nyerere haikuwa kilichotokea..., Yeye alitaka Ujamaa na kujitegemea Yaani the Commanding Heights of the Economy kuwa kwenye mikono na faida ya wote..., ila kilichotokea ni kulikuwa na Capitalists in Socialists Cloths..., As Human Nature will Have it....

Kwahio duniani pote what we have is Mixed Economy
Kutokuwa na nchi ambayo ni 100% haimaniishi hakuna nchi za kibepari na nchi za kijamaa. Nchi ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake unategemea nguvu za soko hiyo ni nchi ya kijamaa, nchi ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake inaamuliwa na wanasiasa hiyo ni nchi ya kijamaa. Kipi huelewei hapo?
 
China inaangukia wapi na Sweden inaangukia wapi ? Na Market Socialism unaielewaje ?

Tena usiniambie kabisa ya mambo ya soko ku-determine prices..., ingekuwa hivyo vitu kama minimum wage n.k. visingekuwepo.., au kuitana walanguzi au hiii mitandao ya siku hizi ni wezi tusingesikia....; au sukari imepanda walanguzi wanaficha bidhaa...
 
China na Sweden yote ni mataifa ya kibepari.
Mataifa pekee ya kijamaa yaliyobaki ni Cuba na Korea ya Kiduku.
 
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.

Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.

Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.

Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.

Na kadhalika...... nk!
Daaah mkuu leo umenichekesha Sana
Aise kumbe hawa jamaa wahuni wakubwa hivi

Anahubiri Aman nyuma ameshika panga na kisu
 
Acha tu kuielewa Sweden na China ni kazi..Sweden is a high tax state,,na kodi Hiyo inatumika kwA asilimia kubwa kufund social programs...kwA mtu alielelewa kibepari,ambaye kodi ikiwa kubwa tu wanasema ni socialism Hiyo; japo Serikali yao iliwahi kukataa katakata Bernie Sanders alipoitolea mfano kama nchi ya kisoshalisti.

WaChina hao ndo wananiduwaza mpka leo,,,japo kuna analyst mmoja namfuatiliaga anasema wao ni internally(mambo yao ya ndani) socialistic lakini externally kwA nchi nyingine wanasimama kama entity ya kibepari especially when they deal with other nations.
China inaangukia wapi na Sweden inaangukia wapi ? Na Market Socialism unaielewaje ?

Tena usiniambie kabisa ya mambo ya soko ku-determine prices..., ingekuwa hivyo vitu kama minimum wage n.k. visingekuwepo.., au kuitana walanguzi au hiii mitandao ya siku hizi ni wezi tusingesikia....; au sukari imepanda walanguzi wanaficha bidhaa...
 
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.

Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.

Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.

Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.

Na kadhalika...... nk!
Siku mojamoja unakuwa na akili kijana

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
CCM wanahubiri ujamaa lakini ukitaka kupata mwizi wa kukufunda jinsi ya kuwa mwizi wa mali ya umma wewe kaa ndani ya CCM tu. Walianza kuiba majengo, viwanja vya mpira na maeneo ya wazi kuyafanya mali ya chama. Sasa hivi wanaiba hadi hela zetu mifukoni kwa jina la tozo. CCM ndio chama cha wezi kuliko vyote ulimwenguni.
 
Yawezekana unachosema ni kweli, lakini kwa tamaa ya madaraka ameiharibu sana Chadema.
Sasa Chadema ni chama cha wajamaa. Walitushawishi wakati wa ujana wetu tujiunge na chadena kwa kuwa tuliamini ubepari ndio njia halisi ya mwanadamu hasa baada ya kufa na kusambaratika Soviet Unioni.
Leo tuna makamanda wavaa makombati kwenye chama na hatuna tofauti na wajamaa CCM, kwa hali hiyo ni bora tujiunge CCM ili ijulikane moja, kuliko kuwa Popo: myama wakati huo huo ndege.

Matajiri tumekuwa tunataka serikali itusaidie, wakati falsafa ilikuwa sisi wanachama tuisaidie serikali kwa kuionyesha njia bora ya kutawala bila kutamani mali ya wananchi.

Sasa wote tunaonekana tunakimbilia mabaki kwenye jaa kama wajamaa wa CCM wakati hatuna ulazima.

Badala ya kuvaa suti tunabaki kung'ang'ania makombati kama wafanyakazi wa viwandani waliokuwa wawe wapagazi wetu.

Wacha Mbowe afungwe chama kirudi katika ubepari. Kwanini kujaza watu wenye elimu isiyo eleweka katika uogozi wa juu wa Chama ili afanane nao kielimu kwa kuogopa ushindani wa maarifa na nguvu ya mali kwenye chama.

Awe huru bila ushindani kuwatumikisha viongozi wenye elimu ya wasiwasi na maisha tegemezi ili iwe rahisi kuwatumikisha na kuishi kwa rehema za Mwenyekiti.

Chadema ni chama cha mabepari na wenye kuamini falsafa ya kutajirika. Walala hoi waachwe na chama chao.

Mfyuuuuuuuuu.
Uongozi ni kipawa siyo elimu ya darasani au taaluma.
Kama umeenda shule basi mzazi wako amepata hasara ya pesa na mtoto.
Chadema imesimama imara kwasababu ya mbowe.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
China na Sweden yote ni mataifa ya kibepari.
Mataifa pekee ya kijamaa yaliyobaki ni Cuba na Korea ya Kiduku.
Kama Ubepari ni Laissez fare basi China Communist party inaamua na ina mkono kwenye almost all industries..., Kama Ujamaa ni Welfare Sweden ni Nchi yenye most Welfare Benefits.... Tofautisha Socialism na Communism na ndio maana nikasema duniani hivi sasa kuna mixed economies... na ndio maana nikakuleta kwenye swali je Market Socialism inaangukia wapi
 
Ubepari sio Laissez fare na Ujamaa sio Welfare.
Kama Ubepari ni Laissez fare basi China Communist party inaamua na ina mkono kwenye almost all industries..., Kama Ujamaa ni Welfare Sweden ni Nchi yenye most Welfare Benefits.... Tofautisha Socialism na Communism na ndio maana nikasema duniani hivi sasa kuna mixed economies... na ndio maana nikakuleta kwenye swali je Market Socialism inaangukia wapi
 
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.

Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.

Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.

Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.

Na kadhalika...... nk!
Ndugu johnthebaptist ,napenda sana siku nikiwa Dar nikutafute tufahamiane. Moja ya wana Lumumba wachache ambao hawajakabidhi akili zao kwenye geti la walinzi wa "Nyumba Nyeupe" pale karibu na Bhanji.
 
Tofauti iko wazi!! Mbowe amepata kwa jasho lake na wazazi wake! wengine ni majizi ya kodi za wananchi. Ni shuruti mwizi ajifiche kwenye kivuli salama!!
Ni kweli amepata kwa jasho lake. Kumbuka kilo za cocaine alizouza pale Mbowe Hotels/ Hard Rock Cafe/ Bikucanas ndiyo utajua ameharibu vijana wa kitanzania wangapi.
 
Ubepari sio Laissez fare na Ujamaa sio Welfare.
Ubepari ni nini ?
an economic and political system in which a country's trade and industry are controlled by private owners for profit, rather than by the state. Unataka tutumie definition hio ? (Jiulize China State ina-own percent ngapi za major companies / Industries)

Socialism ? unataka definiton ipi ?
a political and economic theory of social organization which advocates that the means of production, distribution, and exchange should be owned or regulated by the community as a whole.

Ukifipa hapo utaanza kuona hizi theory na practicability ni two different things..., Na Economic Systems zote ni Mixed Economies..., Big Companies hata US ni too Big to Fail..., zikiharibu Serikali through kodi za wananchi zinakuwa Bailed Out Through Taxes..., Mbaya zaidi hii ni taking from the poorest to bail the wealthiest...

Hata Lenin mwenyewe kwenye speech yake a The Commanding Heights alisema nchi / state sio kwamba ina-own kila kitu, bali the major industries (which he referred as The Commanding Height of the Economy). Sadly watu wamechukulia Socialism kama mfumo unaokataza watu kumiliki vitu vyao wenyewe (Private Ownership)....,

Tukirudi America ukiwa mkubwa sana wanasema una Monopoly (kawauliza Bill Gates, Rockefeller na huenda kitakachomkuta Amazon, Google na Facebook) kwa kuwalazimisha kugawa kampuni zao Sababu they are too powerful for competition...
 
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.

Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.

Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.

Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.

Na kadhalika...... nk!
Shida ni hii ya kula fedha za walipa kodi na kujifanya ndio utajiri wao. Ule ni wizi kama wizi mwingine. Hakuna biashara ya kula fedha zisizo kuhusu ikawa biashara
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom