Mbowe siyo mnafiki ameiishi itikadi ya Ubepari tokea ujana wake tofauti na CCM wengi wanaojifanya Wajamaa kumbe fix tu

Johnthebaptiste kumbe ubatizo wako Kuna muda unakuamsha kua mpya
Hahahahaaa

Hayo maneno mwambie iboya 2021,Idugunde,kinuju na mataahira wengine humu maana walikuja mjini Kwa lifti za malori ya Mkaa kutoka kwao Kolomije wanatajitia kumjua Sana Mbowe bila kujua jamaa alizaliwa hapa mjini na mpambanaji binafsi Tena hustle kweli
Leo wanakuja tutupigia kelele humu jamvini wakati wamemjulia kwenye magazeti na tv za mashemeji zao

Pumbaf kabisa!
 
Mbowe anafurahisha namna anavyowageuza mamilioni ya watu kuwa 'vichwa' vyake kama madereva wa daladala wanavyowaita abiria wao.

Mkwara wake anawapigia saluti akiwakaribia wakati anaingia mahakamani na kutoka kwenda kupanda karandinga. Halafu kitabu anachokisoma anakiinua juu ili camera ziweze kukisoma!.

Ni msanii tu wa kiwango cha juu kwa kumlinganisha na wale wengine wadogo wadogo.
 
Kitendo tu cha chama kumiliki mavieite, hapo hakuna ujamaa tena...
 
Wazee wa maV80 huku wakitukoga na kaunda suti kujidai ati wao wapo na Mwalimu saana!
Ni mkakati wa chadema baada ya kujaribu kumdemonise nyerere na ikabackfire. Kimsingi chadema ni chama cha kibepari ila watanzania wanajua hawahitaji chama cha kibepari kwa sasa kuendesha nchi yao.

Watakaa sana bila dola maana hali ya uchumi wa tanzania kuongozwa na chama chenye falsafa ya kibepari ni sawa kuikabidhi nchi kwa wageni kuiongoza. Mabepari wa tanzania ni mabepari uchwara kwani ni vikaragosi wa ubebepari wa kimataifa.
 
Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.

Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.

Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.

Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.

Na kadhalika...... nk!
“It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.”
~Mark Twain
 
Back
Top Bottom