Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Nimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!
 
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu. Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Kumbe washirirka wa gamba weye zzzzzk act
 
Kwan kazi ya police nn? Wao walinde hayo maandamano tu na si kuanza kutisha watu
 
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana
 
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba

Wewe Mwehu na Punguani DCI(rtd) Manumba amemuita Mbowe Nyumbani kwake ?
Halafu haya ndio ma think tank ya Magamba
 
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana

Acha kuwalisha watu ujinga ww kunguru mwoga duniani kote watu huandamana kupinga mambo flan flan tanzania hata mia bora za waandamanaji hawamo ni wazee wa ndio mzee
 
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu. Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

Kwa UOGA huu lazima jamii ya kimataifa iendelee kutushangaa !
 
Ccm imekwisha, inachofanya ni kutumia vyombo vya usalama kudhibiti upinzani.

Nimesikia kijiweni mwanachama wa CHADEMA akitamba kuwa safari hii polis watakoma, kwani wakati wa maandamano hawatajikusanya sehemu moja. Maandamano yatafanyika kila sehemu kivyake kuanzia vijijini huko huko na mijini kila msingi utafanya maandamano walipo kwa muda huo huo nchi nzima waone kama polisi wana ubavu wa kuwakabili.
 
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.

Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.

Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.

haki ina gharama makamanda sio lelemama
 
Hivi vyombo vya usalama viache kutumiwa kisiasa, waache ukibaraka kwa ccm na wasifikiri ccm itaongoza hii nchi milele.

Kusema tutaandamana kwa kibali au kutokuwa na kibali ni halali? Nchi itakuwa ya kijinga kila jambo unalofanya hata kama ni hatari utaacha kulisemea,utakuwa ni uzezeta wa hali ya juu,angalia kijana usitumike kipumbavu kusupport ujinga
 
Acha kuwalisha watu ujinga ww kunguru mwoga duniani kote watu huandamana kupinga mambo flan flan tanzania hata mia bora za waandamanaji hawamo ni wazee wa ndio mzee

Maandamano wanayaweza waarabu hakuna watu mafisi kama wadanganyika! Mbowe anajua akikamatwa ataachiwa wenzangu na mie sasa...
 
Back
Top Bottom