km hamjui yy yuko kimaslah zaidi na chunguza zaidi uone jinsi alivyoleta mgogoro kuhusu ruzuku,huyo ndo m.kiti wao cjui akiwa rais itakuwaje atakuwa fisad mara 100
wewe unafaa basi nenda kagombee.
Yan huyo atawakoroga mpaka mkome ni mtu mdogo sana na mambo yake yanajulikana zitto mwenyewe anajua timbwili la mboweMbona magamba mnawatetea mafisadi hadi mjengoni? Mbowe sio size yenu hata kidogo.. Shame on you!
Jamani mimi sikujua kuwa hata moderator wetu wanaside upande fulani wa kisiasa hasa linapokuja suala vyama.
maana hapa zimetumwa threads zenye maandishi ya kijani, wala hatukuziona hewani, hiii ikanihakikishia kuwa jf ni ya CDM,
tuna wasi wasi hata hii itafutwa baada ya muda mfupi ujao....!
hongera mr moderator wa jf kwa kumonita na kuzikanselia mbali threads kutoka chama kisichokuhusu na usichokipenda...!!
Mchango wa Mbowe usingekuwepo Chadema isingefika hapa ilipo! Chadema bila mbowe si kitu, Mbowe kaifanyia mengi chadema, always amekua akiitakia mema chadema, yupo kwa ajili ya chadema! Humu Jf wachonganishi mmekua wengi sana!
Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka kuggombea urais ndio maana anafanya mbwmbwe sana na kuwahujumu wenzake,mbowe huna sifa ya kuwa rais wa nchi hii, hata moshi mjini unayotaka ukagombee ubunge utaabika kabisa.
Unataka ww uwe juu tu kuliko wengine na huna uimara wa kufikiri, kumbuka ulivyoropoka kwenye bajeti baada ya kikao cha bunge, sikia ulivyoropoka kuhusu madiwani arusha, halafu leo unakuja na ujinga wa kuwakana, nimeongea na wanachama wengi sana wamenipa huu ujumbe nikupe, kama ukimeza wembe umezs tu, hasa huku visiwani hutakiwi kuja kabisa shaurilo ukijipendekeza utaokona.
haya kwa uchaguzi wa cdm 2013 labda uuairishe eti, vinginevyo utaanguka na utashangaa.
Tunamkumbuka chacha wangwe sana, tunammis sana msema ukweli wetu sie, kwa nini unagombana na kila mtume ajaye cdm akiwa hakubaliani na wewe mbaba? wewe ni tatizo.