Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 46
Katika pita pita yangu nimekutana na mfululizo wa makala hizi ambazo Mbowe aliandika mwanzoni mwa mwaka 2007. Miaka miwili imepita toka wakati huo, je, maneno aliyoyatabiri wakati huo yametimia?
Mfululizo wenyewe unapatikana hapa: Nchi imekwama; tayari Kikwete amelemewa
Pia soma maelezo yake ya wakati huo kuhusu Hotuba ya Kikwete bungeni, kwa kupitia waraka wake wa kwanza mpaka wa sita wa Mbowe kwa Kikwete: Makala za Freeman A. Mbowe, Mwenyekiti Taifa
Mbowe ukichanganya na Dr Slaa, ukamweka na Zitto Kabwe, pembeni Tundu Lissu halafu Profesa Baregu akawa jirani unapata chama mbadala tumaini jipya la watanzania-CHADEMA.
Petu Hapa,
Mkuu sidhani kama Chadema wana mpango wa kuwapa uwaziri wabunge isipokuwa wananchi wanaoweza kuifanya kazi hiyo..(napokea masahihisho)
Kama sikosei mbunge kutokuwa waziri, ni hoja ambayo kama sikosei Chadema waliipeleka Bungeni..
Kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa waziri maadam uwezo wa kuongoza unao!..
Kifupi ktk list hiyo ongeza jina lako! haa haa haa!
Ni mambo ya msingi maswala ya kofia mbili kuondolewa. Ni jambo la msingi uongozi usibebwe na wanachama tu, lakini ni jambo la lazima chama kiwe na watu wa kutosha kubeba majukumu ya uongozi kupeleka mbele itikadi zao. Kwa mfumo wetu, chama ndio chombo chenye nguvu na kulinda maslahi ya chama katika kuongoza taifa. Kwahiyo, hata kama chadema itachukua watu wa nje, ambalo ni jambo la hatari na litahitaji mabadiliko ya katiba, inabidi chadema iwe na mzizi wake, uliotunzwa ndani ya chama na kukulia ndani ya chama.
Rai yangu, chadema ivute wanachama wapya zaidi.
Kikwete hajakwama ila mna haraka tu jamani Rome haikujengwa kwa siku moja ,maana stage aliyofikia Muungwana sio ndogo anastahili pongezi ,unajua kuna watu wanakuwa na papara lakini inavyoonyesha Muungwana papara hanazo ni mvivu tu .
Ni uvivu ndio marazi yake hakuna jingine ,uvivu wa utekelezaji ni very slow inawezekana miaka kumi ikawa haitoshi kwake ,tubadili Katiba ili tumwongezee.Chadema ni showing of nyingi hamna kitu.
HTML:Kikwete hajakwama ila mna haraka tu jamani Rome haikujengwa kwa siku moja ,maana stage aliyofikia Muungwana sio ndogo anastahili pongezi
Amefikia stage gani ya kupongezwa...wakati kila kukicha ina kuwa bora ya jana?
HTML:unajua kuna watu wanakuwa na papara lakini inavyoonyesha Muungwana papara hanazo ni mvivu tu .
Ndugu yangu huo uvivu ndo kushindwa kwenyewe kuimudu nchi....mbona unajichanganya?
HTML:Ni uvivu ndio marazi yake hakuna jingine ,uvivu wa utekelezaji ni very slow inawezekana miaka kumi ikawa haitoshi kwake
Unauhakika huo uvivu alionao utaisha in ten years? Uvivu ndugu yangu ni inborn....so hata ukimpa miak 10 hauondoki ng'oooooo!
Umeona sababu kubwa ya kubadili katiba ni kuongeza muda wa rais madarakani tu....issue nyingine huzioni tena?HTML:tubadili Katiba ili tumwongezee.
HTML:Chadema ni showing of nyingi hamna kitu.
Walishashika dola lini hawa ukapata nafasi ya kuwapima ndugu?
Kikwete hajakwama ila mna haraka tu jamani Rome haikujengwa kwa siku moja .... QUOTE]
Mhhhhhh!!!
Dakika moja tu! Inatosha kukufanya ujue una Kiogozi au unakiongpozwa!!
So soory sir!
Kikwete hajakwama ila mna haraka tu jamani Rome haikujengwa kwa siku moja ,maana stage aliyofikia Muungwana sio ndogo anastahili pongezi ,unajua kuna watu wanakuwa na papara lakini inavyoonyesha Muungwana papara hanazo ni mvivu tu .
Ni uvivu ndio marazi yake hakuna jingine ,uvivu wa utekelezaji ni very slow inawezekana miaka kumi ikawa haitoshi kwake ,tubadili Katiba ili tumwongezee.Chadema ni showing of nyingi hamna kitu.