Wote 4 wana karatasi nadhani zina nondo zao, mwenyekiti hapo ameletewa nondo zaidi dk za mwisho mwisho inabidi azipigilie pia. Zito hapo amearibu picha, pekee ndo Haonyeshi concentration na focus na seriousness badala yake anadokoa ujumbe uliofika kwa m/kiti nadhani mlio karibu nae mshaurini kuwa anapokuwa mbele ya umma ajizuie na distraction na awe focused