Mbowe na UKAWA/CHADEMA ni Vigeugeu, Wanafiki na Waongo

Nimegundua chadema njaa kali, wapo kama vinyonga.
Nilikuwa muda mrefu sana namtafakari Dr . silaha kumbe anawezo mkubwa sana wa kufikiria Dr.
Yale mliyokuwa manayapinga ndio yanayotetewa leo na mabwege hawa. .cina Chama kuanzia leo..
Chama langu Magufuli ndio nishasemaaaaa
Nilitaka kukuacha kukosoa ulicho andika ila naona makosa yanazidi sasa basi kwenye post yako ya kwanza
Dr. Slaha = Dr. Slaa
laini =lakini.
 
Sasa nimemuelewa Dr .Silaha na Sasa ndio nimejua upinzani ni njaa kali sana.
Tangia lisu na Mbowe waanze nao kukumbatia mafisadi, mimi na chadema basiiii. .Chadema nilikupenda sana kwa moyo wangu wote.
Najua Lowasa amewafikisha hapo mlipo, maana kabla ya hapo mlilalamika sana kuhusiana na uzembe wa SERKALI juu ya mafisadi. .laini sijui ile nia imeishia wapi.

1.Uliposema kuandamana nilikuwa mstari wa mbele
2.Michango kwenye campaign nilikuwa mbele
3.Nilishinda na njaa kusikiliza Hutuba za chama nikijua ndiye mkombozi,
4.nimeachana na mke wangu kwaajili ya chadema
5.kama ni wanafunzi wa Yesu mimi nilikuwa petro kila alipo kwenda Yesu mimi nyuma tuuu.

LEO NAKUKANA LIVE BASIIIIIIIIII imenibidi

Picha hiii inamaanisha inaumaaa sana kuacha chama langu ila imenibidi, sitaki chama chochote Tanzania,
CHAMA CHANGU MZEE POMBE MAGUFULI "MAJIPU"
Mungu akujaalie kwa kung'amua kuwa wengi waliojaa cdm ni tumboni street
 
Na sio ajabu hata huyo mke anashukuru kuachana na mtu wa aina hii
Humo aliko kwa jamaa anajilia kwa raha zake!
HAHAHA NDO HAWA BENDERA FUATA UPEPO UNAACHA CHAMA KISA MTU MMOJA NA UNASIMAMA KABISA ETI HATA MKE NILIMUACHA
 
Ni mbaya sana kuwa mfuasi Wa MTU katika chama hata huko ccm ujiangalie sana maana umekuwa ni kufuata mtu Na si misingi ya chama
 
Ulikuwa bado upo chadema wakati wenye akili wote walishakimbia pole na hongera kwa kumitambua kimbia kabisa.
 
Nenda tu, ukisha hama chadema nenda pia Canada kaombe ukimbizi, sie tupo ndani ya chadema na tutaendelea kuwepo. Kwanza ulikuwa na card ya chama au ulikuwa unahudhuria tu mikutano?
 
Sasa nimemuelewa Dr .Silaha na Sasa ndio nimejua upinzani ni njaa kali sana.
Tangia lisu na Mbowe waanze nao kukumbatia mafisadi, mimi na chadema basiiii. .Chadema nilikupenda sana kwa moyo wangu wote.
Najua Lowasa amewafikisha hapo mlipo, maana kabla ya hapo mlilalamika sana kuhusiana na uzembe wa SERKALI juu ya mafisadi. .laini sijui ile nia imeishia wapi.

1.Uliposema kuandamana nilikuwa mstari wa mbele
2.Michango kwenye campaign nilikuwa mbele
3.Nilishinda na njaa kusikiliza Hutuba za chama nikijua ndiye mkombozi,
4.nimeachana na mke wangu kwaajili ya chadema
5.kama ni wanafunzi wa Yesu mimi nilikuwa petro kila alipo kwenda Yesu mimi nyuma tuuu.

LEO NAKUKANA LIVE BASIIIIIIIIII imenibidi

Picha hiii inamaanisha inaumaaa sana kuacha chama langu ila imenibidi, sitaki chama chochote Tanzania,
CHAMA CHANGU MZEE POMBE MAGUFULI "MAJIPU"

Ulikua mzigo sana wewe bora umeondoka.. Unadhani tunapeana peana madaraka hapa kama ulivyotegemea tungekupa fyuuuuuuuu
 
Sasa nimemuelewa Dr .Silaha na Sasa ndio nimejua upinzani ni njaa kali sana.
Tangia lisu na Mbowe waanze nao kukumbatia mafisadi, mimi na chadema basiiii. .Chadema nilikupenda sana kwa moyo wangu wote.
Najua Lowasa amewafikisha hapo mlipo, maana kabla ya hapo mlilalamika sana kuhusiana na uzembe wa SERKALI juu ya mafisadi. .laini sijui ile nia imeishia wapi.

1.Uliposema kuandamana nilikuwa mstari wa mbele
2.Michango kwenye campaign nilikuwa mbele
3.Nilishinda na njaa kusikiliza Hutuba za chama nikijua ndiye mkombozi,
4.nimeachana na mke wangu kwaajili ya chadema
5.kama ni wanafunzi wa Yesu mimi nilikuwa petro kila alipo kwenda Yesu mimi nyuma tuuu.

LEO NAKUKANA LIVE BASIIIIIIIIII imenibidi

Picha hiii inamaanisha inaumaaa sana kuacha chama langu ila imenibidi, sitaki chama chochote Tanzania,
CHAMA CHANGU MZEE POMBE MAGUFULI "MAJIPU"
Nchi zilizoendelea hazilaliii upande wa chama wao wanaangalia kiongozi aliyebora na cyo tu kwa vile anatokea chama flani wanaangalia yupi atakaye iweka nchi sehemu nzur ss bado tuvutwa kwa na kamba huku tumefungwa kitambaa cheusi hatujui tuendako...
 
Wewe bure kabisa . Uache mke kwa ssbabu ys chama? Pumbaf. Hebu tuwekee hapa kadi ya uanachama wako. Hawa Uvccm bwana? Ni shiida!
 
Hahahahahhhh!! buku saba mnajitahidi kweli kweli kuanzisha topic,wakati unakuja huku kuna mtu alikuita au ni kiherehere chako,tuwekee hata picha ya kadi yako,mna kazi mwaka huu ombeni mkwere aendelee kuwa mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom