Mbowe na siasa

Unajua mimi naona kujiita Chadema kumekua fashion sasa. Kuna watu huku wanajiita Chadema au mashabiki wa Chadema ila nina mashaka na kujitolea kwao kwa chama nje ya maisha ya mtandaoni.

Ukishakuwa kabila fulani fulani au dini fulani usipojiita CDM unapopolewa mawe, so watu wanalinda maisha yao
 
akili ndogo ya mbowe div 0. anaongoza akili kubwa.maprof na ma phd chamani.

Mkuu hilo lisikutie shaka kabisa.................................. manake hata Yesu Kristo alikuwa profesor wa maprofesor, japo hakukanyanga mlango wa darasa
 
Jazba zipi? Nilikuwepo mkutanoni...

Vipi tukikuchagua wewe? Au huchaguliki?

Mna matatizo nyie mnaomponda Mbowe.....tatizo lenu mmezoea siasa za matusi jukwaani, mtu asipotukana akiongea mambo yanayotakiwa kwa wananchi mnaanza kumponda, ndio maana hamuendelei. pambavu

Tunapoteza tu muda ila ukweli ni kwamba CDM chini ya MBOWE ni uchagga tu hakuna lolote, Bwana RITZ hivi hawa jamaa na sera yao ya UKANDA vipi? mbona tunakubaki kugawanywa kirahisi hivi?

Wacha ukawatara wako hapa. CCM ndiyo imeleta ubaguzi nchi hii, mnashindwa kuja na hoja za kujenga nchi mnaanza mambo ya ajabu. Kwa kusema hivyo CCM ni chama cha kiislamu au?
 
Yaan umeondolewa bikra kote unakimbilia humu unadhani ndo kificho!
Anza upya umepotea wewe

Wewe mama yako alikuzaa amesimama nini mbona matusi sana? siyo mahala pake hapa
 
Mkuu hilo lisikutie shaka kabisa.................................. manake hata Yesu Kristo alikuwa profesor wa maprofesor, japo hakukanyanga mlango wa darasa
kufuru hizi unataka kufananisha Yesu na kuyu taller wa benki, hawa si ndo watoza ushuru ambao yesu aliwaona?
 
Sawa kaka hizo ni fikra zangu wala sijakuunga mkono.
 
Mkuu hilo lisikutie shaka kabisa.................................. manake hata Yesu Kristo alikuwa profesor wa maprofesor, japo hakukanyanga mlango wa darasa

Yesu na Mbowe tofuati wewe acha kulazimisha mambo.
 
akili ndogo ya mbowe div 0. anaongoza akili kubwa.maprof na ma phd chamani.

Ingekuwa division 1 ndizo zinaongoza nchi basi huyu tuliyenaye asingekuwa sasa anaishi magogoni!!!!!!
 
sio mbaya, naona wewe ni mshabiki wa Arsenal mawazo mgando kama babu yenu Wenger, huwezi kushauri kitu kama umeshindwa kumshauri wenger namna ya kufanya abebe kombe hata la mbuzi, kakojoe ulale
 
Mnabuni mbinu nyingi kweli,tunaweza kuanza kufikiria sasa inawezekana hii ni evolution ya PM-7
 
Masalia's propaganda....hata panya nyumbani kwake hawatapona....
 
Tunapoteza tu muda ila ukweli ni kwamba CDM chini ya MBOWE ni uchagga tu hakuna lolote, Bwana RITZ hivi hawa jamaa na sera yao ya UKANDA vipi? mbona tunakubaki kugawanywa kirahisi hivi?

Karibu JF njuka ndani ya Lumumba propoganda forum.
 
Mbowe ni zaidi ya kiongozi, ni mpambanaji, muadilifu na shupavu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…