Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Hivi uliruhusiwa kule Milembe au ulitoroka?maana kama bado hujapona?Yaani mpaka leo hamjashitukia kuwa CCM wanatumia kick na mgongo wangu ili kujiimarisha, ninyi mnachekesha kabisa. Siku mkishituka maandiko yangu ndio wanatumia Serikali ya CCM, mtanipigia magoti na kujilaumu sana. Nawashangaa mmefata mkumbo wa kupotosha bila kujua mnajimaliza. haya shauri yenu. Mimi nimewekewa Jeshi ili ukweli usijulikane, nawaambieni Mtanikumbuka.
DEOGRATIUS NALIMI KISAND