Wewe ndio unayasema hayo wenyewe wanaitambua nguvu ya dola,usitishike na zile kelele zao za majukwaani ni katika kutafuta ugali wa kila siku na umaarufu wa kisiasa mziki wa polisi wanaujua unaweza ukajikuta ghafla umepigwa Tanganyika jeki ukadhalilika.Mbowe na Lema hawawezi kujificha hata siku moja. Wajifiche kwa kumuogopa nani, Chagonja?????
Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.
USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.
Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.
Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.
Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.
Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?
"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."
Aaah kumbe unachoogopa sana ni nguvu ya dola? Maguvu ya dola hayafui dafu umma ukiamua. Wako wapi akina Gadafi? Hosni Mubarak? Samuel Doe? Haki ndio mshindi siku zote. Ufisadi na aina zote za udhalimu huzaa aibu hata kwa watoto wetu.Wewe ndio unayasema hayo wenyewe wanaitambua nguvu ya dola,usitishike na zile kelele zao za majukwaani ni katika kutafuta ugali wa kila siku na umaarufu wa kisiasa mziki wa polisi wanaujua unaweza ukajikuta ghafla umepigwa Tanganyika jeki ukadhalilika.
Hao ndio makamanda feki unaowasikia duniani
Wewe Chupi leo asubuhi ungefungulia Sun Rise Redio na ukamsikia Lema akihojiwa na kusema anamshangaa Changonja kwakusema eti kajificha na yeye Lema akasema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako Kibo Palace Hotel kwenye kikao na kama Chagonja anamtafuta kwanini asije hapo na kumkamata!Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.
USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.
Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.
Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.
Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.
Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?
"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."
Mbowe si kujificha tu bali amewanyima watanzania haki ya kuwakilishwa na wabunge wao bungeni kwa kuwaamuru wabunge wa Chadema kwenda Arusha kumlinda asikamatwe baada yeye na Lema kuanzisha vurugu.