Mbowe na Kinana

Mbowe na Kinana

Shabobabo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2008
Posts
252
Reaction score
63
Kwa kweli mimi kama mtu nisiye mwana siasa nimegundua jambo moja limenifanya nitofautishe kati ya Mbowe na Kinana. Mh. Kinana alipochaguliwa kuwa katibu akapanga mkakati wa kukijenga chama kwa kuzunguka kila kona ya nchi mpaka kule watangulizi hawajawahi kufika kuhakikisha watu wanarudisha imani na chama

Kwa upande wa pili Mboe anachaguliwa anatangaza maandamano ya nchi nzima. Ukiangalia wanaondamana ni wale walaji wa mjini aka wachumia matumbo.

Ni mtazamo wangu.
 
Mboe ni nani?

Kinana alichaguliwa na nani?

Chadema haina kiongozi anayeitwa Mboe..
 
Kwa kweli mimi kama mtu nisiye mwana siasa nimegundua jambo moja limenifanya nitofautishe kati ya Mboe na Kinana. Mh. Kinana alipochaguliwa kuwa katibu akapanga mkakati wa kukijenga chama kwa kuzunguka kila kona ya nchi mpaka kule watangulizi hawajawahi kufika kuhakikisha watu wanarudisha imani na chama. ... Kwa upande wa pili Mboe anachaguliwa anatangaza maandama ya nchi nzima. Ukiangalia wanaondamana ni wale walaji wa mjini aka wachumia matumbo. .... Ni mtazamo wangu.

Mwadhira wa elimu duni..
 
Umekurupuka vibaya sana Mboe ni nani? Maandamana ni kitu gani?
 
Kweli Mbowe lazima uweke mikakati ya wazi ya kuendelea kukijenga chama chetu, hili ni wazo lenye kuleta tija
 
Kinana wameshisha dola lakini analalamika, mashine za EFD, BWV, anafyeka majani, anaranda mbao, ni mtuhumiwa wa meno ya tembo,
Mbowe wanakimbizana kushika dola, wanaangalia ni wapi kuna udhaifu wa walioshika dola
 
Wakati KINANA anapigana vita ya UGANDA,MBOE alikuwa anatoroka SHULE anaenda DISCO.
 
Umekurupuka vibaya sana Mboe ni nani? Maandamana ni kitu gani?

Wewe huna elimu badara ya kuangalia content unangalia speling. Pinga hoja kwa kutoa maelezo tofauti na hayo. Wenzenu wanapita mtaa kwa mtaa nyie mnataka kuandama mjini.
 
Tunaomba hapa tutumie neno Ndugu JK na ndugu Slaa badala ya Uheshimiwa ama tutumie Mr.JK ama Mr.Slaa .Mnaonaje tukiachana na mawazo ya uheshimiwa ?

Wewe ndo huna elimu maana hujapinga hoja kwa hoja.
 
Mboe ni nani?

Kinana alichaguliwa na nani?

Chadema haina kiongozi anayeitwa Mboe..

Kichwa cha habari umekiona. Pinga hoja. Ndio maana CCM inawashinda. Kama hamuamini kwa mwendo huu mtasikia kishindo 15.
 
Kwa kweli mimi kama mtu nisiye mwana siasa nimegundua jambo moja limenifanya nitofautishe kati ya Mbowe na Kinana. Mh. Kinana alipochaguliwa kuwa katibu akapanga mkakati wa kukijenga chama kwa kuzunguka kila kona ya nchi mpaka kule watangulizi hawajawahi kufika kuhakikisha watu wanarudisha imani na chama

Kwa upande wa pili Mboe anachaguliwa anatangaza maandamano ya nchi nzima. Ukiangalia wanaondamana ni wale walaji wa mjini aka wachumia matumbo.

Ni mtazamo wangu.

Umelinganisha vitu viwili tofauti.
- Mbowe ni Mwenyekiti wa chama na Kinana ni katibu mkuu wa chama.
- Mbowe anachaguliwa na mkutano mkuu wa chama na Kinana anateuliwa na Mwenyekiti wa chama chake na kuthibitishwa na secretariet ya chama chake.
- Kina unaweza kumlinganisha na Dr. Slaa sio Mbowe.

Hope itakusaidia kama nia yako ni kuelewa.
 
Kwa kweli mimi kama mtu nisiye mwana siasa nimegundua jambo moja limenifanya nitofautishe kati ya Mbowe na Kinana. Mh. Kinana alipochaguliwa kuwa katibu akapanga mkakati wa kukijenga chama kwa kuzunguka kila kona ya nchi mpaka kule watangulizi hawajawahi kufika kuhakikisha watu wanarudisha imani na chama

Kwa upande wa pili Mboe anachaguliwa anatangaza maandamano ya nchi nzima. Ukiangalia wanaondamana ni wale walaji wa mjini aka wachumia matumbo.

Ni mtazamo wangu.

Ms....ng wewe .
 
unashangaa mbowe kwenda disco,mbona waliokuwa wanaenda twanga pepeta na leaders club leo hii wananafasi kubwa kitaifa.tafuta jingine la kuongea
Wakati KINANA anapigana vita ya UGANDA,MBOE alikuwa anatoroka SHULE anaenda DISCO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom