Mbowe na Kinana

Mbowe na Kinana

Tatizo buku 7 za Lumumba, unashindwa kuelewa umeandika kitu gani. Jielimishe.
 
View attachment 188030 View attachment 188031 View attachment 188032 migiro.jpg View attachment 188034 nape na baiskeli.jpg View attachment 188043
Ndio Ziara zenye tija kama akili ya mleta mada anavyoamini

View attachment 188042
Duh!! sijui tunachekwa sisi?
Where is the poor.jpg
Uhalisia uliopo ndio huu hizo ziara za Kinana ni kiini macho.
 
Kwa kweli mimi kama mtu nisiye mwana siasa nimegundua jambo moja limenifanya nitofautishe kati ya Mbowe na Kinana. Mh. Kinana alipochaguliwa kuwa katibu akapanga mkakati wa kukijenga chama kwa kuzunguka kila kona ya nchi mpaka kule watangulizi hawajawahi kufika kuhakikisha watu wanarudisha imani na chama

Kwa upande wa pili Mboe anachaguliwa anatangaza maandamano ya nchi nzima. Ukiangalia wanaondamana ni wale walaji wa mjini aka wachumia matumbo.

Ni mtazamo wangu.

Ktk ziara za kinana kuna jambo gani anefanikiwa?alitoa tamko la mawaziri mizigo wafukuzwe kazi,hadi leo ni waziri gani kafukuzwa kazi?sana sana ndio wanazidi kujilimbikizia mali.
 
Mimi simwelewi Kinana. Anazunguka huku na huko akiwaeleza wananchi ubovu wa.watenda kazi wa serikali. Anatafuta nini hasa? Honestly simwelewi. Anyway, kwa kuwa analipwa na chama chake let him go go.
 
Kichwa cha habari umekiona. Pinga hoja. Ndio maana CCM inawashinda. Kama hamuamini kwa mwendo huu mtasikia kishindo 15.
Kwa kweli mimi kama mtu nisiye mwana siasa nimegundua jambo moja limenifanya nitofautishe kati ya Mbowe na Kinana. Mh. Kinana alipochaguliwa kuwa katibu akapanga mkakati wa kukijenga chama kwa kuzunguka kila kona ya nchi mpaka kule watangulizi hawajawahi kufika kuhakikisha watu wanarudisha imani na chama

Kwa upande wa pili Mboe anachaguliwa anatangaza maandamano ya nchi nzima. Ukiangalia wanaondamana ni wale walaji wa mjini aka wachumia matumbo.

Ni mtazamo wangu.
Hoja iko wapi? Au unataka kutuambia mtazamo wako ndio hoja ya kujibu? Pole sana kwani sio kosa lako, ni mfumo wa Elimu ndio kikwazo kwani unazalisha wahitimu wasioweza kufikiri na kujenga hoja kama wewe!
 
mbona hujaandika pia kwamba baada ya huyo jamaa kushika madaraka tu hawa wanyama wetu wamepungua kwa kiasi kikubwa sana kwenye hifadhi zetu - tunaomba ufafanuzi.

images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom