tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Hiyo picha ya lini?Tuanzie hapo kwanza.
Pili sio kwamba kisa wako vyama tofauti ndio wawe maadui,kawaida tu mbona?
Kwani hii picha mbona kama photoshop...?
![]()
Kwa ninavyojua SIASA zetu za MAJI TOPE hii Picha ITAKUWA na MADHARA makubwa mno KISIASA kwa Mbowe na UKAWA yake. Sasa hivi jambo lolote tu hata liwe dogo LITAKUZWA ili kuleta IMPACT na mnaojua SIASA vizuri hizi wiki karibia mbili zilizobaki ndiyo huwa zina MAANA hata kuliko siku za mwanzo mwanzo wa KAMPENI. Hizi wiki mbili ni kama vile katika Mpira sasa tupo katika zile dakika 3 au 4 tu za NYONGEZA.[/
WEWE WASEMA!
Hiyo picha ya lini?Tuanzie hapo kwanza.
Pili sio kwamba kisa wako vyama tofauti ndio wawe maadui,kawaida tu mbona?
Siasa za kilaghai
Mmh! ni kawaida? Mbona tunaambiwa Slaa amenunuliwa kisa kaonekana na Mwakembe Serena Hotel? Hapana, keshanunuliwa huyo...ngojeni tutasikia...