Hivi Mbatia, Prof Lipumba kumbe hawana lolote UKAWA ni drama tu.
Hapa ninapoishi mwenyekiti ni wa NCCR. Cuf na Chadema hawakusimisha wagombea. Viva Ukawa...Naona UKAWA wametoswa rasmi, sasa hizi zina drama zake.
un ahofu gani?Kwanini usishukuru tuu kwa kukusaidia ili uweze nyooka..na uache jikanganya.CDm ni wazuri sana wanmwombea adui yao wanamsaidia asivunjike ili kupunguza mizigo njiani.Hivi wewe jamaa ni mzima kweli? Au wewe ni robot? Sasa huyo aliyeku-program hajui Kiswahili? Maana uandishi wako ni mbovu haijawahi kutokea hapa JF.
wanitume nini sasa wakati nyie US yenu ipo vijijini?Kama Mbowe na Slaa wamekutuma kuja kuwatetea humu JF basi unawadhalilisha sana.
Kwa ufupi huyu kijana anaongelea slaa kuongea katika talkshow kwenye kiredio kimoja kule indianapolis,indiana.mwandishi ni too local
Mimi nashangaa mabandiko ya huyu mkongwe mwenzangu. Amejiunga JF tangia 2006 bado tu hajajua kuwasiiana. Mwanzoni nilidhani ni under age lakini kwa kujiunga JF 2006 naondoa hiyo dhana. Kuna kingine zaidi ambacho nashindwa kukibaini. Labda kweli ni pro.Hivi wewe jamaa ni mzima kweli? Au wewe ni robot? Sasa huyo aliyeku-program hajui Kiswahili? Maana uandishi wako ni mbovu haijawahi kutokea hapa JF.
mkuu unaongelea nini? hubu weka habari vizuri ueleweke.....unaandika as if wote tupo kwenye ubongo wako?
Kila kinywa kitakiri kuwa NDIE bwanaNDIE MKOMBOZI.
Ukishalewa mbege zako huko kilabuni,unakuja kutucheulia machicha yako huku.