Mbowe na Dr Slaa sasa kwisha; kushtakiwa rasmi na wajumbe Baraza Kuu!

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
WanaJF,

Mhe Mbowe, ambae ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, na katibu mkuu wa chama hicho, Dr Slaa, wamekumbwa na pigo kubwa baada ya wajumbe wa baraza kuu kuwakalia kooni vigogo hao wawili wa CHADEMA.

Itakumbukwa hivi karibuni wajumbe wa baraza kuu CHADEMA walitoa "press release" ya kuwatuhumu viongozi wa chama chao kwa tuhuma nzito nzito ikiwemo kukihujumu chama, ufisadi na ubadhirifu wa mali za chama. Ambapo kwa mujibu wa wajumbe hao, uhuni huu wote unafanywa na Mbowe pamoja na Dr Slaa!!!

Lakini vilevile wajumbe wa baraza kuu CHADEMA hawajaishia kutoa tu "press release", bali wameenda mbali zaidi mpaka kwa msajili wa vyama vya siasa nchini na kwa mkaguzi mkuu wa mahesabu (CAG) kwa hatua zaidi za kisheria kuchukuliwa dhidi ya vigogo hao wa CHADEMA, kwa kuwa wajumbe wa baraza kuu wamejipanga kwa vielelezo vyote vya kuthibitisha ukiukwaji wa sheria katika matumizi ya mali za umma unao fanywa na Mbowe pamoja na Dr Slaa.

Aidha, jitihada za kumtafuta Dr Slaa ili atolee maelezo suala la wao (yeye Dr Slaa na Mbowe) kushtakiwa kwa msajili wa vyama azikuweza kuzaa matunda kwani simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa.
 
mbona mkurugenzi wa habari bwn mnyika ameishawajibu vihoja vyenu, yani umetoka huko na viroba vyako unatapika 2 hapa u.halo wako, mtaweweseka sana na chadema haitakufa ng'o,
 
Huo upuuzi ulioandika umesha jadiliwa hapa muda mrefu na hauna maana yoyote. Katafute bangi ustuwe
 
HAMY-D ombi langu apo juu inakuwaje, au niku PM, au nianze kabisa? naweka kitu baada ya hii post
 
Last edited by a moderator:
HAMY-D kichwa cha habari kikubwa ukifungua sred yenyewe kilicho ndani ni uharo tu!

Madai kuwa Dr Slaa au Mbowe wanatumia vibaya pesa za ruzuku ni kosa la JINAI wala sio la kwenda kwa msajili bali waende POLISI

Kama CCM mnao watuma mmeshindwa kuwaambia hivyo basi wote nyie ni hamnazo
 
Last edited by a moderator:
Wamemnyima per day yake AKA buku 7, kisa hawaridhishwi na utendaji wake. Sasa ndio kaibuka rasmi ili kuwaonyesha kwamba anastahili kulipwa. Wasaliti wa Watanzania banaaaa noma sana, kwa kukurupuka na kuropoka pumba wametia fora.

HAMY-D kichwa cha habari kikubwa ukifungua sred yenyewe kilicho ndani ni uharo tu!

Madai kuwa Dr Slaa au Mbowe wanatumia vibaya pesa za ruzuku ni kosa la JINAI wala sio la kwenda kwa msajili bali waende POLISI

Kama CCM mnao watuma mmeshindwa kuwaambia hivyo basi wote nyie ni hamnazo
 
WanaJF,

Mhe Mbowe, ambae ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, na katibu mkuu wa chama hicho, Dr Slaa, wamekumbwa na pigo kubwa baada ya wajumbe wa baraza kuu kuwakalia kooni vigogo hao wawili wa CHADEMA.

Itakumbukwa hivi karibuni wajumbe wa baraza kuu CHADEMA walitoa "press release" ya kuwatuhumu viongozi wa chama chao kwa tuhuma nzito nzito ikiwemo kukihujumu chama, ufisadi na ubadhirifu wa mali za chama. Ambapo kwa mujibu wa wajumbe hao, uhuni huu wote unafanywa na Mbowe pamoja na Dr Slaa!!!

Lakini vilevile wajumbe wa baraza kuu CHADEMA hawajaishia kutoa tu "press release", bali wameenda mbali zaidi mpaka kwa msajili wa vyama vya siasa nchini na kwa mkaguzi mkuu wa mahesabu (CAG) kwa hatua zaidi za kisheria kuchukuliwa dhidi ya vigogo hao wa CHADEMA, kwa kuwa wajumbe wa baraza kuu wamejipanga kwa vielelezo vyote vya kuthibitisha ukiukwaji wa sheria katika matumizi ya mali za umma unao fanywa na Mbowe pamoja na Dr Slaa.

Aidha, jitihada za kumtafuta Dr Slaa ili atolee maelezo suala la wao (yeye Dr Slaa na Mbowe) kushtakiwa kwa msajili wa vyama azikuweza kuzaa matunda kwani simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa.

na mtachambia viroba mwaka huu chadema inaimarika kila kukicha
 
Porojo porojo za wasiojua hata mvua inanyeshea wapi. Ndio maana nchi hii iko nafasi ya 9 duniani kwa ujinga. Hivi ni nani hakumbuki kuwa zitto alivita vyama ambavyo havijakaguliwa vipeleke hesabu? Je mlifuatilia ripoti ya msajili?
Hii ndio inafanya watanzania wajinga kuwa wengi uvivu wa kusoma na kufikiri. Ukimuuliza huyu cag alisemaje baada ya kupelekewa hesabu hajui na amekuja kuandikia hoja watanzania wasome. Uwendawazimu nadhani umekomaa sasa!! Mnakuwaje ka warema anaambiwa tunanyaraka za escowt badala ya kusema leta tuzione hualali wake anamwita mwenye nazo tumbili!!!. Taifa linaangamia kwa ujinga!! Uandishi wa aina hii hapa jf ni ujinga ambao umepindukia. Kwanza kazi ya cag ni ni kuendesha kesi!!!? Utaona ujinga ulianza kwa alienda kwa cag!!! Taifa limejaa wajinga!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: 911
Back
Top Bottom