Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

Nakubaliana nawe lakini pia ni lazima tutofautishe chama kilichoshika dola na ambacho hakina dola.Chenye dola vyombo vya usalama vinatumika na ndio maana ni vigumu haya kutokea lkn naamini kwa CCM kingekuwa nje yangetokea makubwa zaidi ya haya hasa kwa kuwa kina ukwasi na kinakumbatia rushwa,isingekuwa kupokonya simu ingekuwa ni kuwasha shaba!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mm nilidhani ulifaham ubaya wa kutabiri mabaya kumbe hujafaham ubaya wake bado unataka kuwasha shaba!!!!! Kila mara tuna laani matumizi ya nguvu za ziada kwa washukiwa wa uhalifu ww bado unamtazamo wa kutumia shaba je kila mtu nae akiwasha shaba nchi itakalika? Mm nadhani busara hekima kuvumiliana kusameheyana nibora sana kuliko kuwasha shaba.
 
mm naamini ccm inawasaliti wengi kuliko chama chochote cha siasa hapa tz na naamini usaliti huo ndio ulioipa cdm wabunge wengi na naamini cdm wamepata idadi kubwa ya wabunge sikwakuwa na sera nzuri sana au kuwa na viongozi wazuri sana hapana ni kwa usaliti wa wana ccm wenyewe lakini sijawahi kusikia kiongozi kanyanganya cm au laptop au kapigwa ktk kikao ambacho kinaongozwa na m/k taifa
 
Panapofuka moshi pana moto, viongozi wa cdm kuweni makini matumaini yetu ni makubwa kwa chama hiki
 
Chadema kupigana ni jambo la kawaida kabisa, hiyo ipo kwenye damu.
 
Chadema kupigana ni jambo la kawaida kabisa, hiyo ipo kwenye damu.
Kawaida hata wabunge uganda walitwangana,hko Kenya usiseme kabisa,spika wetu alimtandika mtu fulani hadi kuzimia hadi kumuonea huruma wakampa ukuu wa wilaya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…