Mbowe: Magufuli aliniahidi Kila aina ya Cheo nikakataa

Mbowe: Magufuli aliniahidi Kila aina ya Cheo nikakataa

Mwenyekiti wa maisha wa chama cha siasa VS mwenyekiti wa kudumu

A life chairman of a political party
 
Unajua Ndio maana Machadema yanaitwa Manyumbu.

Watu wenye akili timamu huwezi kuwaambia ujinga kama huo !!!

Kwa hiyo Cheo anachokitaka yeye ni Uenyekiti tuu!!

Yaani Mbowe ni Msanii kuliko sanaa yenyewe?
Kama hapendi vyeo mbona ananganagania Uenyekiti ? Wakati huo huo anagombea ubunge , ?

Tungemwamini kama angakua na ukomo wa madaraka ndani ya chama chake ?

Kuna cheo gani angepewa na Magufuli wa akati hakua na athari yoyote kwenye uchaguzi ?
Magufuli alikua anataka watu wenye taaluma kubwa kama akina Profesa Mikenda ,Dr. Kimei ,Dr. Moleli lakini sio Mbowe ambaye anaishia kuwa mkuu wa mkoa au wilaya tu .
Hawezi kuwa Karibu wa wizara . Labda mwenyekiti wa Bodi basi.

Vinginevyo atuambie kuwa yeye anachotaka ni pesa tu kama alivyofurahia wakati wa JK na sasa Abduli
Mkuu una mawazo mgando mno ambayo watawala waliyafuata hatimaye nchi inashindwa kusonga mbele...tujiulize hao maprofesa mara baada ya kuteuliwa na magufuli ni kipi kilibadilika zaidi ya wengine kumuita magufuli muheshimiwa Mungu? Usihadaike na neno profesa ndugu yangu hivi umesahau yale ya dr Rajabu Rutengwe alipotumbuliwa alilia sana kuwa ataishije na familia yake?Huyo Dr Mollel namfahamu vizuri sana kichwani ni mtupu kabisa kichwani kwake kumejaa nadharia tu
 
Dj kashachanganyikiwa dj ni wakukataa mtonyo ama cheo wakati chai tu ya ikulu kipindi cha Kikwete alikua wa kwanza kuepeleka mdomoni na tabasamu pana kama mtoto kamuona mtu anaempaga zawadi..
 
Magufuli alijaribu kumhonga Mbowe kwa RUSHWA ya Pesa na Cheo, lakini aliamua kumuua Tundu Lissu Mughwai kwanini alitumia hiyo Strategy ya kumuua mmoja na kumhonga mwingine?

Au Mbowe ni Soft kwenye Mshiko?!
Kila mtu ananunuliwa kwa namna yake ya malipo. Utu wa Mbowe upo kwenye pesa na utu wa Lissu ni uhai wake.
 
Kilichobaki ni kudai kuwa Mbowe alihusika katika jaribio la kumuua Lissu.

Amandla...
Mama alisema kuwa hakuna ajenti wa serikali anayeweza kupiga risasi 30 asiue. That was a botched assassination attempt done by cheap unprofessional/amateur hitmen. It won't surprise me if one day Mbowe will be revealed as the mastermind. Politics is a dirty game indeed!
 
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia

Source Jambo TV

Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf na uigp akamkatalia?

Nimekaa pale [emoji209]
Siri ni ni kwamba mbowe hataki kuachia huo uenyekiti anatumia jina la magufuli kutafuta huruma ya kubaki madarakani
 
Kila baya anatupiwa hayati
I wish he were still around. The true son of Africa!

Screenshot_20241220_214634_Instagram.jpg
 
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia

Source Jambo TV

Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf na uigp akamkatalia?

Nimekaa pale 🐼
Na Bado alikuita Gaidi,ukakimbia,Samia akakusweka ndani.
 
Mkuu una mawazo mgando mno ambayo watawala waliyafuata hatimaye nchi inashindwa kusonga mbele...tujiulize hao maprofesa mara baada ya kuteuliwa na magufuli ni kipi kilibadilika zaidi ya wengine kumuita magufuli muheshimiwa Mungu? Usihadaike na neno profesa ndugu yangu hivi umesahau yale ya dr Rajabu Rutengwe alipotumbuliwa alilia sana kuwa ataishije na familia yake?Huyo Dr Mollel namfahamu vizuri sana kichwani ni mtupu kabisa kichwani kwake kumejaa nadharia tu
wewe ndio hujielewi teuzi za Magufuli zililkuwa nzuri na alifanya mazuri mengi kwa muda mfupi mfano ni alifufua shirika la ndege,kaleta sgr,bwawa la umeme lililoshindikana,nizamu sehemu ya Kazi ni zamu sehemu ya kazi
 
Mama alisema kuwa hakuna ajenti wa serikali anayeweza kupiga risasi 30 asiue. That was a botched assassination attempt done by cheap unprofessional/amateur hitmen. It won't surprise me if one day Mbowe will be revealed as the mastermind. Politics is a dirty game indeed!
Ona sasa! Na itagundulika kuwa Mbowe kweli alikusudia kupindua nchi kwa kulipua petrol station na kupanga miti barabarani. Mmeanza. Mnasikitisha.

Amandla...
 
Back
Top Bottom