Kauli za UWT utazijua kama hizi, usiwajumuishe na wanaume tafadhaliWatanzania wanawaza mitikasi ya pesa hizo siasa za wanaharakati wanaozijua ni nyinyi wachache sana mliomo humu jamvini.
Humpeleki mtu Muhimbili akatibiwe MOI wakati anajua kuwa Mbowe na washirika wake wachache ndio wanaofaidika moja kwa moja na mabilioni ya pesa za wafadhili wenu wa Ulaya na Marekani.
Mlichobakia nacho ndio haya matusi ya kitoto.Kauli za UWT utazijua kama hizi, usiwajumuishe na wanaume tafadhali
Tumia basi akili yako hata nusu tu...........watu wanatekwa na kuuliwa.....wewe unakuja na bandiko la aina hii... 😡Chawa unajifanya una hasira kuliko boss wako Mbowe. Katangaza mbele ya waandishi wa habari kwamba maandamano yanasubiri mazungumzo ya viongozi wa baraza la maaskofu na serikali.
Kuandamana kunaondoa vipi huko kutekwa na kuuliwa?.Tumia basi akili yako hata nusu tu...........watu wanatekwa na kuuliwa.....wewe unakuja na bandiko la aina hii... 😡
Huyu hajielewi kiungo anachotumia kufikiria kina walakiniTumia basi akili yako hata nusu tu...........watu wanatekwa na kuuliwa.....wewe unakuja na bandiko la aina hii... 😡
Tatizo ni kutekwa na kuuliwa.....ndio wanachopinga..Kutekwa kunasababishwa na sababu nyingi na haziwezi kuandikwa humu jamvini. Maandamano yamesogezwa mbele kwa mujibu wa Mwenyekiti Mbowe.
Umekazana wafadhili wafadhili una ushahidi kuna wafadhili nje? Wataje? Mpuuzi weWatanzania wanawaza mitikasi ya pesa hizo siasa za wanaharakati wanaozijua ni nyinyi wachache sana mliomo humu jamvini.
Humpeleki mtu Muhimbili akatibiwe MOI wakati anajua kuwa Mbowe na washirika wake wachache ndio wanaofaidika moja kwa moja na mabilioni ya pesa za wafadhili wenu wa Ulaya na Marekani.
Kazi nzito kupinga mauaji, yanazo sababu nyingi na sio za kisiasa pekee.Tatizo ni kutekwa na kuuliwa.....ndio wanachopinga..
Mfuate Mbowe atakupatia majina na orodha yao.Umekazana wafadhili wafadhili una ushahidi kuna wafadhili nje? Wataje? Mpuuzi we
Hakuna anayeweza kuacha shughuli zake zinazomuingizia kipato akaandamana juani kwa sababu za kisiasa. Kenya imewezekana sio bongo hii tunayoijua kwa miaka 50 sasa.Huyu hajielewi kiungo anachotumia kufikiria kina walakini
Kweli wamekufa watu wengi sana ..........ila kwa hili la maandanamo , hapa Chadema wanapinga kuhusu viongozi wao waliotekwa na wengine kuuliwa.......issue hapa ni siasa ....rejea kauli zaoKazi nzito kupinga mauaji, yanazo sababu nyingi na sio za kisiasa pekee.
Wamekufa watu wangapi kuanzia awamu ya tano mpaka leo hii?. Mauaji huwa na sababu nyingi ukiachana na yule anayeuliwa pengine kuwa na mahusiano na siasa.
Unipe wewe ndio umewataja humu pumbafuMfuate Mbowe atakupatia majina na orodha yao.
Tarehe 23 inamalizika na maisha ya TZ yanaendelea kama kawaida, mje na tukio jingine sasa hili limeshaingia kwenye historia ya yale yaliyofeli.Unipe wewe ndio umewataja humu pumbafu
Hio ni baada ya serikali lako la dikteta mama samia kufanya kazi...yana mwisho..Tarehe 23 inamalizika na maisha ya TZ yanaendelea kama kawaida, mje na tukio jingine sasa hili limeshaingia kwenye historia ya yale yaliyofeli.
Siamini kwamba Rais mwenye uwezo wa kuhudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA na kumpa ushirikiano Mbowe na kwenda kumuona Lissu akiwa kalazwa hospitali kule Nairobi, kwamba anaweza kuidhinisha kufanyika mauaji ya mmoja wa watu wa CHADEMA. Siamini kabisa.Hio ni baada ya serikali lako la dikteta mama samia kufanya kazi...yana mwisho..
Kiungo unachotumia kufikiria kina walakini, nani kakuambia wote wanauawa kwa sababu ya siasa?Punguza mapovu mkuu. Sio wote wanauawa sababu huwa ni uhusiano wao na siasa za vyama.
Kiungo cha kwako kimeoza kabisa. Sio mauaji yote yanahusishwa na siasa, unyama upo dunia nzima bwana mdogo.Kiungo unachotumia kufikiria kina walakini, nani kakuambia wote wanauawa kwa sababu ya siasa?