Watoto wa mwalimu akiwemo Makongoro walienda vitani Uganda,tena Makongoro alienda vitani bila baba yake kufahamu kama Makongoro yupo Uganda.
Angalau yeye watoto wake walienda vitani,tunataka na viongozi wa chadema na familia zao ,pia wabunge wote wakiwemo wa viti maalum washiriki maandamano.