Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Ikulu ni mahali patakatifu wala si pango la mafisadi.

TANZANIA STAND UP.
 
Eti lowasa hawezi kukemea rushwa!!!!! Jamani jamani jamani!!!!!
 
Lowassa akiwa Rais akasimama jukwaa akikemea rushwa watu watakauka kwa vicheko na mishangao! Itabidi rushwa ihalalishwe tu kwny taasisi za umma maana Rais mwenyewe ndio fisadi #1 ???

EL atakuwa anapambana na rushwa mahakamani si jukwaan ka JK
 
EL atakuwa anapambana na rushwa mahakamani si jukwaan ka JK

Angejipeleka kwanza yy mahakamani kwa tuhuma alizonazo na sio kujisafisha kisiasa...

Ni mahakama pekee ndio ingemuona hana hatia kwny kashfa zinazomkabili:sly:
 

Mkuu hii ni kuchochea kuni tu na si vinginevyo, Hapa Mbowe anajaribu kuwaambia ccm kuwa Wamfukuze au wamzuie tu Lowassa kugombea kupitia Ccm, na hili likitokea ni Mende kudondoka juu ya Marumaru akiwa miguu juu mgongo chini kwa ccm.

Mbowe na upinzani mzima wanachochoa kuni kwenye tanuri..!!

Ccm wakimpitisha Lowassa....nchale, Wasipompitisha...... nchale!!!!! Unajua kwanini?

Wakimpitisha Lowassa ndipo watakumbana na maswali magumu toka kwa wananchi, Je lile walilokuwa wakidai kuwa ni Gamba, lini imepata kuvuliwa na kubaki ngozi nyororo..? Hapa wataanguka asubuhi saa tatu kwenye uchaguzi..!!!

Wasipompitisha Lowassa, ndiposa Lowassa atatangaza hadharani kwamba ule ufisadi wa Richmond ulikuwaje? Nani muhusika na alihusika vipi..!! Lowassa anasiri nyingi za ccm maufisadi yote iwe ni Tangilod, EPA, Escrow na ufisadi wote mwingine unaoujua..!!! Unapopambana na Lowassa unapambana na Chenge, unapambana na Rostam, Unapambana na makundi yote makuu ya ufiaadi ndani ya ccm..!! Haya ndiyo yaliyoapa Lowassa lazima awe mgombea ndani ya ccm. Lengo lao kuu ni kulipa kisasi kwa yaliyowapata kisiasa ndani ya utawala huu.

Kama wao walipata ajali ya kisiasa basi lazima watu fulani wapate kifo cha kisiasa...!!!

Hiviq unakumbuka namna Rostam Azizi alivyojiuzulu nyadhifa zake zote ikiwemo Ubunge na Ujumbe wa NEC?? Unadhani aliondoka kwa Amani??

Mwaka hui tutaona mengi we subiri

BACK TANGANYIKA
 
You can't teach an old dog new tricks of hunting. Lowasa has been in the government for over 30 years and he has been the same why should you expect him to change from worse to good after becoming a president?
 
Wakati wa sakata la escrow angeweza kumsema swahiba wake na pacha mwenzake nyoka wa makengeza kweli?

Wakati anajua alikuwa akihemea kwenye fuko lao la kuhonga

Si ajabu chenge akaja kuwa PM baada ya EL kupata uprezida

Lowassa Rais,Chenge PM,Rostam waziri wa nishati na madini,Naziri karamagi waziri wa fedha,patam hapo!
 
Yaa kwenye press conference yake na wahariri wa vyombo vya habari aliongea mengi lakini sikusikia akitaja neno ufisadi mpaka anaondoka mitamboni.Je nini shida? Hata waandishiwa habari hawakumuliza swali kuhusu ufisad ,kwnini? Je Lowassa anania ya kuikomboa Tz kama anavyojinadi.Binafsi siamini na simwamini. Hata hivyo alikuwa na mtu mmoja aliyejiuzuru naye kipindi kile Mhe. Naziri huenda akawa mgombea mwenza. Tanzanians say no big no to the list of shame.
 

uko sahihi natural winner
 
Walau mwana umemaliza huu mchezo. Maana kila siku maneno yamekuwa hayo hayo wakati wanasahau kwamba wao wanaishi katika ofisi za umma.
 
Lowassa nifisadi awezi kukemea ufisadi hata siku moja kwani anasema yeye nitajiri lakini vyanzo vya utajiri wake avijulikani
 
Kwa hili Mbowe yupo sahihi
team joka la mdmu leo mnamsfia membe kweli hotuba ya JK kua achaguliwe rais anayekubalika ndan na nje ya ccm inawaumiza mliangaika sana kukata jina la lowasa ila mmekwaa kisiki kama nyie ni wanaume kwanini mnaogopa kupambana na lowasa uwanjani
 
mbowe ni kilaza tuu mbona alimsafisha juzi bungEni kuwa hausiki na richimond
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Hata askof Gwajima amemkimbia Lowasa na Kumuunga Mkono Mbowe
 
Mbowe mwenyewe ni dhaifu, Malaya, mfisadi, mdini, dictator. Ahiambie taifa billion ngapi alizozigicha uswisi.
 
Tena afadhari hata mabubu tunaowajua huku mitaani kwa sababu kuna lugha yetu ya vitendo tunaelewana. Lowasa lugha yake ni fedha tu na anakwambia hapendwi mtu bila pesa........lowasa ni MPIGA DILI MAARUFU TZ
Hawezi kuongea ila anaweza kutengeneza kampuni feki km alivyofanya richmond.
Jambazi sugu na fisadi papa kamwe hawezi kuwa rais wa tz
 
You can't teach an old dog new tricks of hunting. Lowasa has been in the government for over 30 years and he has been the same why should you expect him to change from worse to good after becoming a president?

Sorry, ntatumia kiingereza cha lowasa..."THIS IS UNPOSSIBLE"
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5

Kwani kuna mahali L alisema ana nafasi ukawa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…