Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
njoo tena usome comment yako mkuu.Kweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah mapana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapigaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.
Umesimamia unachokiaminiKwa hili Mbowe yupo sahihi
Kumbe mkuu umeanza kumpinga El hata akiwa ndan ya chama chako.Kwa hili Mbowe yupo sahihi
Vipi mkuu unaweza kurudia kuandika tena!!!Kwa hili Ukawa mmekata mzizi wa fitina na sasa kura yangu iko kwenu ...hatutaki mafisadi Ukawa
Mbowe alikuwa sahihi mkuu lizaboni?Kwa hili Mbowe yupo sahihi
Ngoja tumuulize mbowe anasema nini kuhusiana na kauli yake aliyoitoa kipindi kile..anaweza kukwambia alikua anatania tu..Mbowe alikuwa sahihi mkuu lizaboni?
Moderator hawahusiki, hta wewe ukitaka kuibua thread unaibua tu, unasaka thead kupitia google kisha unafungua na ku commet kitu kinaibuka, huyu mdau anayeitwa technically ndio amekuwa wa kwanza ku comment leo kwa hiyo ndio kaibuaHivi haya mathread ya kale, mwaka jana ni nani anayeyaibua?
Kama ni MODS basi kuna walakini.
Patriote njoo utuhubirie haya tenaKweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah mapana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapigaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.
Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.
Source:Tanzania Daima page no.5
Huu unafiki sijui utaisha lini.Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.
Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.
Source:Tanzania Daima page no.5