Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,190
- 138,502
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.Source:TD page no.5
Kwa hili Mbowe yupo sahihi
kweli el ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah pana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapifaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili el na yeyote awaye toka ccm hana sifa kuwa rais wetu.