Suma langa
Senior Member
- Sep 9, 2017
- 152
- 82
Pona haraka lisuuuuu wetuuuuu bashiteeee aje kuumbuka
Pambana na ujinga wako kwanza!Pambana na hali yako kwanza.
Binaadamu wote ni sawa kila mmoja Anahaki ya kuishi!!Ungewapenda wazazi wako kiasi hiki.....peponi ungekaa na Yesu kristo! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mbali ya taifa....jimboni kwake amefanya nini?tatizo mnamkuza bado kidogo mtamuita Mungu!Binaadamu wote ni sawa kila mmoja Anahaki ya kuishi!!
siyo wazazi wangu tu ata mama yako anahaki ya kuishi kama ambavyo Lissu ana haki ya kuishi salama bila kutishiwa uhai wake!!
Anahaki ya kulindwa pengine zaidi ya baba yako maana faida yake ni kubwa kuliko faida au mchango ambao baba yako anaweza kutoa kwenye taifa !
Hivi Magufuli, Mkapa, Kikwete, Mwinyi, Nyerere wao walifanya maendeleo gani kwenye majimbo watokako.Mbali ya taifa....jimboni kwake amefanya nini?tatizo mnamkuza bado kidogo mtamuita Mungu!
sawa kamabisa ila wewe utabaki kuwa shetani muuwaji!!Mbali ya taifa....jimboni kwake amefanya nini?tatizo mnamkuza bado kidogo mtamuita Mungu!
Unamfananisha lisu na marais wa nchi hii !level yake ni Urais wa TL, TFF Simba au Yanga. ......usimkuze kupita kiasiHivi Magufuli, Mkapa, Kikwete, Mwinyi, Nyerere wao walifanya maendeleo gani kwenye majimbo watokako.
Kwa kuwa Nyerere hakupeleka Barabara za Lami kule atokako ndiyo asiheshimiwe. Halafu Lissu unauliza kafanya nini kwenye jimbo lake, kwani yeye ndiye anayekusanya kodi ama unataka atoe wapi hela za "kuliendeleza" jimbo lake?