Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.
Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .
Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu chadema kwa kumleta Lowassa,
Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.
Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua ,endelea kuwaburuza
Wewe ni team Jiwe ?Nakubaliana na wewe kabisa kwa asilimia zote
Siasa za Samia ndo xinaijali nchi,Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.
Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .
Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.
Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.
Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Kwanini watu wa CCM hasa Sukuma gang ndiyo wako busy sana kumsakama Mbowe?Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.
Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .
Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.
Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.
Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Stupid propaganda, umefeli tayari, RubbishNi kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.
Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .
Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.
Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi bali ni za kujali maslahi yako binafsi na wafuasi wako wachache.
Kupitia sakata hili unaumbuka tena ,mbaya zaidi wengi ya wafuasi wako hili hawawezi litambua, endelea kuwaburuza
Tujipe muda mkuu, mwenyewe nimeshtuka.Mbowe anajua kila kitu,anatufanya wajinga sisi wafuasi wake.Sema wewe unachokijua kuhusu hilo suala ili tupime uzito wa hoja zako, wacha kuleta hoja za kufikirika hapa ili uwadanganye wasiojielewa.
Unadhani siasa za nani ni za kusaidia nchi wakati ufisadi kila mahali.Wewe kama unashughuli zako endelea kufanya unipatie kipato siasa za Afrika ndivyo zilivyo.Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.