Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mh.Mbowe,anatarajiwa kupanda kizimbani leo kujibu tuhuma zinazomkabili.
CHANZO:Uhuru.
uhuru gazeti la kuvutia tumbaku hilo halina status.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mh.Mbowe,anatarajiwa kupanda kizimbani leo kujibu tuhuma zinazomkabili.
CHANZO:Uhuru.
Kuliko mafisadi wa Escrow account?
amesharudi kutoka afrika kusini kula raha na warembo kwa ruzuku Ya chama.
amesharudi kutoka afrika kusini kula raha na warembo kwa ruzuku Ya chama.
Waingereza hawana huo msemo , huo labda wako.
Hivi Hivi mnalipwa buku ngapi?waingereza wanamsemo wao, "two wrong don't make it right". Hauwezi kumsafisha
Mbowe kwa kutaja wahalifu wengine k
ambao hawajachukuliwa hatua. Au siwezi nikaanza kuvunja sheria kwasababu najua kuna mtu alivunja sheria na hakuchukuliwa hatua. Cha msingi hapa athibitishe hakuvunja sheria.
Akitokea mtu akudhuru alafu ajitete mahakamani mbona Malima hajachukuliwa hatua utakubali aachiwe huru?
Hii imeshachuja! Njooni na Single ingine.
Hapana ni ile kesi ya pesa za ESCROW inasemekana Mbowe aliinjinia dili wengine wote wameachiwa hawana hatia walichukua kihalali kabaki yeye.