Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Kwa sababu katajwa MBOWE angekuwa CHENGE ungeshangilia, mkuki kwa nguluwe kwa binadamu mchungu.
JPM PIGA KOTEKOTE MAJIPU YATUMBUKE.UKITAKA KUMUUA NYANI USIMWANGALIE USONI.
Iwe marudio au la
nshu kwanini!?
Tunataka ukweli uwekwe wazi huyu naye atumbuliwe
Katorosha toka Tanzania kwenda Dubai ,Uswis na Jessey bila kibali cha BOT.
Nikinyume cha sheria ya fedha.
Ahsante sana kaka siku ingine utakuja na adabu na lugha ya stara.True na hongera kwa hilo kaka.
Hahahahahahhhaahhahahahah Kaka hujasoma vizuri hiyo thread, BOT inahusika vipi ilhali hiyo document fake inaonyesha ni standing order inayoelekeza hela zitoke NOOR BANK ya Dubai kwenda bank tofauti tatu huko Hong Kong,.Aliyelalamika ni Dubai ama Tanzania ama Hong Kong?
Kwa hiyo kama alihamisha fedha kutoka Dubai kwenda Hong Kong, kodi inatakiwa ilipwe nchi ya Tanzania?Uko sahihi lkn ni kweli alitorosha?
Mkuu katorosha kutoka wapi kwenda wapi!?
sheria inasemaje kuhusu mtanzania kumiliki akaunti nje ya nchi?.
Mtoa mada kabla hujaleta post humu jaribu kufuatilia angalao kidogo kama kuna kinachoendana na unachotaka kuleta. Hii issue ni marudio tuu unaleta hapa, hii imeletwa humu kipindi cha kampeni halafu nawe ukaibeba kama ilivyo bila kujiuliza, Je international cash transfer ndo hivyo huwa zinafanyika kulingana na hicho kipeperushi ulichoweka!?
Ifike wakati tulete mada ambazo siye wenyewe waletaji tumejilidhisha!!
Hiyo document ni nini haswa? Inamuamlisha nani kufanya nini? Document moja inaenda bank zaidi ya moja? Unajua kweli usiri ulioopo kwenye account ya mteja na bank?
Tulishasema kitambo kuwa ni vema huyu fisadi akamatwe kwa utoroshaji wa pesa hizi na ufisadi wao anaofanya na Lowasa.
Kwa hiyo NOOR BANK hizo pesa zinefikaje?. Au zimejiingiza zenyewe?