Mbowe: Kila hakimu aliyepelekewa jalada la rufaa ya kesi ya Sugu, alisema anaudhuru

Hapo mimi sijaelewa, hivi mlalamikaji ndie anamuasign jaji au msajili ndiye anamuasign jaji?
Yaani wamebaki na siasa za kupotosha tu ! Wasubiri kipigo cha 'Rukaya' kwenye uchaguzi 2020. Maana hakuna namna nyingine.
 
Mkuu hawa kina MBOWE na genge lake unaojaribu kuwatetea hawastahili kabsa.....Dawa ya mtu anaendekeza upuuzi na kuacha kufanya majukumu yake ya kuwapigania wananchi ni KUMKUMBUSHA KWA VITENDO....hivi unataka kutuambia wabunge wa chadema NI MBOWE,LEMA,SUGU,LIJUAKALI,MDEE,BULAYA tu?...maana hawa wameishageuza mahakama kama ndio BUNGE LAO na ndioo walipoagizwa na wananchi kama kituo chao cha kazi

Mleta uzi amenukuu maneno ya Mbowe. Hajamtetea Mbowe, wala hata hajajaribu kufanya hivyo.
 
Mkuu hawa kina MBOWE na genge lake unaojaribu kuwatetea hawastahili kabsa.....Dawa ya mtu anaendekeza upuuzi na kuacha kufanya majukumu yake ya kuwapigania wananchi ni KUMKUMBUSHA KWA VITENDO....hivi unataka kutuambia wabunge wa chadema NI MBOWE,LEMA,SUGU,LIJUAKALI,MDEE,BULAYA tu?...maana hawa wameishageuza mahakama kama ndio BUNGE LAO na ndioo walipoagizwa na wananchi kama kituo chao cha kazi

Ficha ujinga wako ili wanao wasijue kuwa baba ni jinga
 
"Walikata rufaa dhidi ya kifungo cha Mhe.Sugu. Mpaka leo ni miezi mitatu kila Mhe. Jaji anayepelekewa jalada kuwa na udhuru." Mwisho wa kunukuu. Mimi ninauliza anachosema ni ukweli au siyo kweli. Kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana.
Kama ni kweli basi ni dhahiri profesa Ibrahim Juma ni msaidizi wa Magufuli
 
Mkuu hawa kina MBOWE na genge lake unaojaribu kuwatetea hawastahili kabsa.....Dawa ya mtu anaendekeza upuuzi na kuacha kufanya majukumu yake ya kuwapigania wananchi ni KUMKUMBUSHA KWA VITENDO....hivi unataka kutuambia wabunge wa chadema NI MBOWE,LEMA,SUGU,LIJUAKALI,MDEE,BULAYA tu?...maana hawa wameishageuza mahakama kama ndio BUNGE LAO na ndioo walipoagizwa na wananchi kama kituo chao cha kazi

Ndugu kapime akili zako nadhani unahitaji either update au upgrade. lakini I thnk your mental capability is seriously impaired.
 
Kama taifa tufikiri kusonga mbele,kuboresha mfumo katiba nk,ni ujinga na dhambi kama taifa kurudi nyuma zama za giza kumtumainia binadamu mmoja kutuonyesha njia.
 
Mkuu hawa kina MBOWE na genge lake unaojaribu kuwatetea hawastahili kabsa.....Dawa ya mtu anaendekeza upuuzi na kuacha kufanya majukumu yake ya kuwapigania wananchi ni KUMKUMBUSHA KWA VITENDO....hivi unataka kutuambia wabunge wa chadema NI MBOWE,LEMA,SUGU,LIJUAKALI,MDEE,BULAYA tu?...maana hawa wameishageuza mahakama kama ndio BUNGE LAO na ndioo walipoagizwa na wananchi kama kituo chao cha kazi
Wewe waonaje???
 
"Walikata rufaa dhidi ya kifungo cha Mhe.Sugu. Mpaka leo ni miezi mitatu kila Mhe. Jaji anayepelekewa jalada kuwa na udhuru." Mwisho wa kunukuu. Mimi ninauliza anachosema ni ukweli au siyo kweli. Kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana.
Kwani wewe ndio kwanza unahisi lipo tatizo? JK1 aliwahi kusema " Walipotoka Zanzibar kimyakimya wakaanza kutenda mambo ya hovyo 'sisi wenye akili' tukajua mambo tayari". Hebu tafakari
 
mbona Yule wa kule Mtwara hakuwa na udhuru ama hakimu huyu anayesimamia kesi Yao pale kisutu??
 
Umesahau nukuu zenu katika magazeti na humu Jamii Forum kipindi cha JK kikwete mlikuwa mnamsifu kagame na kusema tunataka Rais mwenyewe viashiria vya dikteta leo mnazungumza mengine, kwanza nyie ndio mmetuletea uchuro.
 
Back
Top Bottom