Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Hutakiwi kuogopa kuchukua pesa za nao wakoloni, zimetokana na jasho la babu zetu waliofanyakazi kwenye ,mashamba ya mkonge,kahawa n.k. wao wanachokifanyan ni kujigonga kwetu, na hivyo ndivyo inavyotakiwa, siyo upuuzi huu anaotuambia Mbowe amekwenda kumshataki rais wetu kwao. Aibu kubwa sana hii.
 
Mim jana hadi hadi nimemuonea huruma kwa kweli jinsi anahaha kuibrand chandema ili iendelee kuaminiwa baada ya kulamba zile 5 bilion kutoka kwa yule nyangema
Niliinamisha kichwa chini alipoanza kusema walikwenda kwa hawa wakoloni.
 
Tunasubiri kuona baada ya kwenda huko wamerudi na nini? Kuna waliodai wanaenda ICC walirudi na nini? Kila jitihada zina mrejesho, kila hatua ina pimwa kwa mafanikio.
Tutegemeea maandamano na migomo zaidi, watatakiwa waoneshe pesa walisopewa wamezifanyia nini?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu DJ ndio kawaida yake..
Usije shangaa baadae akayatafuna maneno yake kama alivyoyatafuna kwa Mvi nyingi..

He uses anybody for his own political gains and discard them afterwards..
Huyo ndio DJ bwana!!
 
Mbowe amekata tamaa
Iliobaki ni kutapanya tu ruzuku,kwa kufanya ziara zisizo na mashiko,hizo nchi za ulaya hazipigi kura,
 
Lipumba anapamabna na Lowassa wala siyo CUF wala CHADEMA, hawa akina Mbowe na Seif wote ni vibaraka wa LOWASSA.
Ukipambana na RAIA wema siku zote utashambuliwa na kila MTU mpenda Amani, Kama serikali imemuona Lowasa ni RAIA mwema sasa huyu profesa pumba kabisa wa buguruni atake kuvuruga Amani halafu watu wenye Akili tumuache tuu!!
 
Mbowe na vibaraka wake now hawana hoja. Wamekula ya mbuzi wameota mapembe...chezea Lowasa weye!!
 
Hiki chama sijui kwanini hakioni kama Mbowe amekosa mwelekeo. Kweli unajifiia kwenda ujerumani, uingereza na Canada kwa hoja dhaifu kabisa ambazo zimetokana na kukosa ushawawishi kwa wananchi baada ya zile mlizozisimamia kutekelezwa na rais? No! Mimi kuwatukuza hao jamaa , acha nife njaa walichowafanyia babu zetu kinatosha.
 
Hivi Mbowe anafikiri mabalozi wa hizi nchi hawatoi taarifa nchini kwao kuhusu hali ya kisiasa hapa? Alafu bahati mbaya kwa Mbowe ni kwamba hao jamaa wanajua upinzani wa Tanzania ukoje, kuanzia richmond mpala libadili gia angani
 
Wewe ni mtoto wa lini, hujui Mbowe aligombea urais 2005 na kupata kura zake laki 3...
 
Hivi Mbowe anafikiri mabalozi wa hizi nchi hawatoi taarifa nchini kwao kuhusu hali ya kisiasa hapa? Alafu bahati mbaya kwa Mbowe ni kwamba hao jamaa wanajua upinzani wa Tanzania ukoje, kuanzia richmond mpala libadili gia angani
Elimu, elimu, elimu. Mwenyekiti kipofu, lakini yeye hana washauri?.
 
Tutafute ya kufanya siasa ya bongo tuachane nayo wao wanapiga hela sisi tunabishana daily
 
Kumbe akina Mbowe ndio wa kwanza kwenda kuwalilia hao watu eeh??

Sifurahishwi na vitendo vya kwenda kuwatukuza hao watu,lakini ulipaswa uanze kuchukizwa na kuhoji ulichohoji serikali yako kwanza!
 
magu alisema hajaribiwi.... Ni kweli wametia mpira kwapani. HAPA KAZI TU.
 
Hivi leo vibaraka wa Huyu Mangi wamejitokeza kushiriki kupanda miti na kufanya usafi kweli
Akili za kupanda miti kuzuia ukuta ili kuparaganisha umoja na mshikamano wa kitaifa dhidi ya udikteta.

Nenda mkapande hiyo miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…