KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
Ahahahhaaha!! Wewe ndiyo utakuwa mnazi kuna watu walimtukana Lowassa kama Chadema au unajitoa ufahamu mapenzi kitu kibaya sana.
Morally and intellectually bankrupt ame achive nini katka miaka yake yote kwenye siasa?Sio tu irrelevant he is also impotent
(sijui nimelikoroga mapronoun na vocabulary)
Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Yaani hapo kwenye political irrelevance ndio hoja yangu ilipolalia....Hapo sasa wewe unataka iwe utakavyo Mbowe hajasema Lipumba ni "irrelevant" but Mbowe amesema Lipumba ni political irrelevant hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu wangu,watanzania tujifunzeni kusoma maandiko kwa makini.
umedanganywa na hao wa team yako! kwahiyo wewe unaamini Mbowe ni darasa la saba? Huko USA alienda kutembea miaka kadhaa? Watanzania hamjui mifumo ya elimu ndio maana ni rahisi kudanganywa!Mbowe katika makosa yote kisiasa aliyowahi kufanya basi katika hili mbowe amemkosea sana ni bora angetulia kimyaa tuu ,
- Upande wa pili lipumba akianza kujibu mapigo mbowe huenda ikashuka heshima yake kisiasa maana akianza kuchambuliwa c.v yake hadharani itakuwa sasa ni issue nyingine
now we undetstand.....Lowasa is like a wife of someone...[emoji23] [emoji23]Mkuu acha ushabiki wa ccm kumtukana lowassa ni kuwatukana ukawa wote, ni sawa mkeo anadhalilishwa ni familia nzima mnadhalilika
kwa facts zipi..!?Siyo mbowe . Lipumba kawakosea heshima watanzania
Kwahiyo unatakaje?Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Wee mbona huishi kumtukana Lowassa?Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Mishipa ya aibu ishakatika, usishangae kesho akamuita "POTENTIAL ASSET" to Tanzanian politicsUkweli ni muhimu ukasemwa...