Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Yaani kumkataa fisadi ni kuuvunjia heshima upinzani?

Heshima ya upinzani wa leo ni kukumbatia mafisadi na wakwepa kodi?
....soma vizuri niliyoainisha kisha njoo na hoja ya msingi, alafu naomba takwimu za fisadi yeyote aliyepandishwa mahakamani kwenye mahakama ya mafisadi, vinginevyo kuanzisha kitu halafu unaongelea uvunguni na wewe ni roroso tu....
 
Kuna aina ya watu wanaweza kumuita profesa Uchwara lakini Mbowe hatakiwi kuwa mmoja wao.
 
....soma vizuri niliyoainisha kisha njoo na hoja ya msingi, alafu naomba takwimu za fisadi yeyote aliyepandishwa mahakamani kwenye mahakama ya mafisadi, vinginevyo kuanzisha kitu halafu unaongelea uvunguni na wewe ni roroso tu....
Takwimu za huyo fisadi ziko kwenye makabrasha pale ufipa...
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Mafanikio ya kisiasa na maisha kati ya Mbowe (darasa la saba) na Lipumba (profesa) unayalinganishaje?-Hebu waombe TWAWEZA wakusaidie kufanya utafiti. Halafu ujue kukaririshwa jambo ukiwa hujitambui ni sawa na kuvutishwa madawa ya kulevya-hebu fuatilia shule ya Mbowe halafu uje hapa!
 
Hivi mtu na akili zake timamu kabisa anaweza kuhamishia makazi yake kwenye ofisi za chama? Hili kwako unaona liko sawa kabisa?
 
Mkuu acha unazi wa ccm kumtukana lowassa ni kuwatukana ukawa wote, ni sawa mkeo anadhalilishwa ni familia nzima mnadhalilika
Ahahahhaaha!! Wewe ndiyo utakuwa mnazi kuna watu walimtukana Lowassa kama Chadema au unajitoa ufahamu mapenzi kitu kibaya sana.
 
Prof. Lipumba kajikosesha heshima mwenyewe kuusaliti Upinzani
 
Alikosea kumuita irrelevant angemuita disappointment
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Uprofessa haupimwi kwa vyeti peke yake, unaweza ukawa na vyeti vya uprof lkn matendo yako ni km ya std 7
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Professor gani?professor ambae hata mtoto wa darasa la 5 Ana akili kuliko yeye!!haya anayoyafanya Sijui uprofesa aliupata kichawi!!!maana tabora kuna vigagula!!

Coz haendani kabisa na elimu yake.
 
Takwimu za huyo fisadi ziko kwenye makabrasha pale ufipa...
...ushalegea mkuu, so unaongea ukitegemea mawazo ya mtu mwingine, bhahahahhaaaaaa ccm wepesi sana...
 
Kwa manyago anayoyafanya Lipumba mi nadhani anastahili matusi zaidi ya hilo. Laiti ningekuwa najuwa kutukana hata mimi ningemtukana.
 
Yes he is irrelevant,na hili sio tusi au tatizo Lugha? ...
Tatizo lako unataka baba azae mtoto ambake au amuue tumuache ati kisa ni baba yake,acha utoto wewe!!
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
kaka itabidi tukurudishe serengeti ukaungane na nyumbu wenzio! Kwahiyo anachokifanya huyo msomi chapendeza machoni kwako? Lini nyie vijana wenzetu mtajielewa tujenge nchi yetu?
 
Mkuu acha ushabiki wa ccm kumtukana lowassa ni kuwatukana ukawa wote, ni sawa mkeo anadhalilishwa ni familia nzima mnadhalilika
Lowasa hakuanzisha UKAWA......yeye anataka urais tu, hajui cha katiba mpya wala ya zamani.....ndio maaana alikimbia mdahalo. Wapinzani hawakimbii midahalo
 
Boss anapotukanwa lazima kijakazi ajibu kwa niaba ya Boss.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…