Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Mbowe yupo kwenye ziara za kata zote kwenye Jimbo lake la Hai..Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.
Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
Aisee
Ha ha ndege inakuja dogo,wewe endelea kupiga ramli. Hatahivyo Tundu kapewa siku saba kufuta kauli ya dhihaka dhidi ya Raisi kuwa alivunja mkatabaMbowe yupo kwenye ziara za kata zote kwenye Jimbo lake la Hai..
Na nyie Mkiti wenu yupo wapi??
Bombardier imempa za uso...hahhahahahaahah..
Ujanja wote mfukoni..
Alifikiri kununua Ndege kwa kuchota pesa zetu bila idhini yetu kupitia Bunge na kutofata Sheria ya Manunuzi ndio ujanja..!!??
Ona alivyoona aibu hata Rwanda kashindwa kwenda wakati role model wake alipokuwa anaapishwa..
Haya wale wa meli ya samaki aliyoikamata wanadai Mabilions mengine na hukumu ilishatoka walipwe..
Yani huyu ni mtu wa kuitia hasara tu hii Nchi..
Utasikia sasa hivi na Boing Dreamliner limedakwa hukohuko kwa Manufacturer.
Mtamfanya nn?Ha ha ndege inakuja dogo,wewe endelea kupiga ramli. Hatahivyo Tundu kapewa siku saba kufuta kauli ya dhihaka dhidi ya Raisi kuwa alivunja mkataba
Jenga hoja
Jenga hoja
Vumilia dawa ikuingie, usibwekeUnaweza kujenga hoja wewe changu? Shughulikia kwanza kupata mtoto, Nenda hata kwa sangoma wakusaidie.
Vumilia dawa ikuingie, usibweke
Pia nami niongeze yanguMbowe yupo kwenye ziara za kata zote kwenye Jimbo lake la Hai..
Na nyie Mkiti wenu yupo wapi??
Bombardier imempa za uso...hahhahahahaahah..
Ujanja wote mfukoni..
Alifikiri kununua Ndege kwa kuchota pesa zetu bila idhini yetu kupitia Bunge na kutofata Sheria ya Manunuzi ndio ujanja..!!??
Ona alivyoona aibu hata Rwanda kashindwa kwenda wakati role model wake alipokuwa anaapishwa..
Haya wale wa meli ya samaki aliyoikamata wanadai Mabilions mengine na hukumu ilishatoka walipwe..
Yani huyu ni mtu wa kuitia hasara tu hii Nchi..
Utasikia sasa hivi na Boing Dreamliner limedakwa hukohuko kwa Manufacturer.
tuko bize na bombadia!Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.
Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
Mnatutapeli kila kukicha na makelele yenu yasiyoisha, mnatafuta fent ford kumbe ni wizi mtupu.Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.
Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.