Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Mbowe aliwakumbusha Watanzania Nchini Kote kwamba Ulinzi wa Kura ni Jukumu la Kila Mwanachadema popote pale alipo
Tukiungana Pamoja bila Uhaini na Usaliti ndani ya Chadema, Ushindi Uko wazi...
Ulinzi wa kura ni jukumu la kila mwanachama Ulinzi wa ruzuku zinazotolewa kwa CHADEMA ni jukumu la nani?
Mkuu stroke, hayo ndo maneno ya watu waliofilisika kisiasa. Sijui Mungu wao amechoka kuzilinda kura zao?hivi kura hua zinaibiwaje , hii kauli nimekua nikiisikia lakini practicability yake nashindwa kuifikiria inakuaje, maana kama kura hua zinaibiwa basi kusingekuwepo na mbunge wa upinzani hata mmoja bungeni, waache kudanganya watu, mtu unashindwa fair and square unaleta porojo za kura kuibiwa
Na wewe ni mnywa Gongo?Tutasimama imara
Thubutu!Naona hiyo nafasi upewe wewe kwani unaweza
hivi kura hua zinaibiwaje , hii kauli nimekua nikiisikia lakini practicability yake nashindwa kuifikiria inakuaje, maana kama kura hua zinaibiwa basi kusingekuwepo na mbunge wa upinzani hata mmoja bungeni, waache kudanganya watu, mtu unashindwa fair and square unaleta porojo za kura kuibiwa
Jukumu hilo lipo chini ya nyumba ndogo na nyumba ya kupanga ya viongozi wakuu wamchadema. Hapa namaanisha Joyce Mukya na Josephine Mushumbuzi. Ona hata majina yao initials zinafanana. (Joyce Mukya = JM), (Josephine Mushumbuzi = JM)Ulinzi wa kura ni jukumu la kila mwanachama Ulinzi wa ruzuku zinazotolewa kwa CHADEMA ni jukumu la nani?