Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,885
- 12,328
Inategemea na aina ya mission mkuugharama ya kufadhiri ugaidi laki Sita kweli?

iyo mission kama watatumia mikasi na viwembe laki 6 sawa,, bado chakula, mavazi, usafiri na pesa ya kuwalipa inatoka wapi?Inategemea na aina ya mission mkuu
Sa itakuwaje? Mungu hajawahi kushindwa na ShetaniKwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Huo ndio ukweli. Na Bado Mwenyezi Mungu anaend akutoa kichapo kwa wote waliohusika na nuovu huoNi kweli hii kesi yuko kwenye ni win-win-win situation. Wamefanya makosa kumpa kesi ya Ugaidi na kuitangazia Dunia Tanzania sio nchi salama.
Only downside for him, ni kukaa ndani, kupotezewa muda, posibility ya kuumwa au kufariki hakuna faida yoyote kwa upande wa serikali.
Akiumwa au Kufariki, itaongeza pressure kubwa sana kwa serikali hii. Hawakufikiria vizuri uamuzi wa kumfungulia kesi ya ugaidi.
ccm itapata nini au hao wanaomfunga watapata nini au ndio uchumi utaongezeka tanzania kama ulayaAfungwe miaka 30 yet u say he has nothing to lose?.!
naKwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Its not abt CCM kupata kituccm itapata nini au hao wanaomfunga watapata nini au ndio uchumi utaongezeka tanzania kama ulaya
NAKATAA hiyo popularity tungeiona sasa wakati wa kesi huko ni kujidanganya na kujipa moyo. Kumbuka Lissu alinusurika kifo lakini hakupata popularity yoyote sembuse yeye MboweKama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi
Nimeshangazwa sana na support ya laki sitaMimi nilijua Sabaya kahukumiwa kimkakati,Lengo kum-frame Mbowe na picha imeshaanza kujiridhisha.Kumbe kuanzisha kikundi cha ugaid Tz ni simple hivyo?,just one basic salary ya mfanyakazi wa mhindi.
Na katibu wao ni ChongoloNchi hii niaongozwa na vichwa maji watupu
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Sio Mbowe tu arelax, hata ninyi mrelax. Muache speculations. Muda ndio utatoa majibu ya unayoyasema.Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi zaidi Cha kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu Sana.
2. Kama wataacha kesi iamuliwe na mahakana na Mbowe kushinda kesi,, itakuwa aibu kubwa kwa Rais na hao wasaidizi wake, na Mbowe anaenda kuwa na jeuri zaidi na confidence ya kuendelea kudai katiba mpya.
3. Kama wakiamua kumuhukumu Mbowe, Kesi ya ugaidi ni kubwa itabidi Mbowe afungwe miaka 30 jela au kunyongwa. Hapa ni pagumu sana sasa hivi Serikali ina pressure kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kutokana na kushikiliwa kwa Mbowe so wakimuhukumu 30yrs au wakimnyonga itakuwa hatari kwa usalama na ustawi wa taifa(ukweli CCM wanajua nguvu ya huyu mwamba)
Mwisho, Serikali atakuwa ndo looser kwenye hii kesi.
So Mbowe relax muda utaamua
Ubabe?? Nyie ndo matiki maji ulitaka amnyenyekee, unataka Trump amnyenyekee Biden???Mbowe hana lolote ahukumiwe tu.
Maana hakuna wakati ameniudhi kama kutaka kuleta ubabe kwa serikali kisa inaongizwa na Rais mwanamke.
Ningekuwa na sababu ya kumuonea huruma iwapo angefanya ubabe huu kipindi cha Magu
Hapa tu kesi ilipo tayari ameshapoteza mengi. Watanzania wengi tunamuogopa na kumuona kama HamzaKwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.