Mbowe hafai kuwa KUB

Mbowe hafai kuwa KUB

Mapirobe

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
683
Reaction score
117
MBOWE HAFAI KUWA KUB!

Mhe Mbowe hafai tena kuendelea kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni(KUB), kiongozi huyu amekosa sifa hizo baada ya kuonekana kuwa na tamaa hasa ya hela badala ya kuwatumikia wananchi

1: Mbowe aliamua dhahiri kutoa nafasi ya Dr slaa kwa Lowassa kwa kinachodaiwa kula alikula mshiko.

2: Alichangisha michango wananchi, bila kutoa taarifa za mapato na matumizi ya hela zile hadi sasa.

Kwa mtazamo huu, huyu si kiongozi na hafai kuwa KUB.

UKAWA tushtuke jamani
 
Nae huyu cjui ilikuwaje akapata ubunge,nilitaman nae aende akapige disco pale Bills
 
Maana chama katuharibia kabisa,kiukweli vile!hela zile za mchango zinaniuma mimi
 
Na kama ni hela,kapiga sana walahi!malofa tumebaki wapumbavu
 
wakimachagua mbowe , wategemee gia za angani ....??
 
hata nami km mwana CHADEMA siungi mkono mhe. mbowe kuwa KUB ningemshauri yeye abaki km mwenyekiti wa chama alaf hii nafasi awaachie wengine.na kwa kuwa wana umoja wa UKAWA mhe. mbatia,mnyika,lissu au wabunge wa CUF.
 
Duuuu, sitoi tena shilingi afadhali nipelekee wagonjwa Muhimbili kuliko kumpatia huyo mpigaji na saccos yake.
 
VIJANA WA C.C.M ACHENI KUWA VICHWA MAJI!
-Asipogombea mbowe unataka baba yako agombee?
-Kaeni mjenge chama chenu cha kinyonyaji mambo ya UKAWA waachieni ukawa.
 
Back
Top Bottom