Mbowe avae Jezi ya Yanga kuleta motisha Jangwani

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,305
33,924
Freeman Mbowe ni mmojawapo wa wanachama maarufu sana wa klabu hiyo tangu enzi ya ile kamati yao ya "Saidia Yanga Ishinde". Kabla kina Lingalangala hawajaibuka Yanga Mbowe na wenzake ndio waliokuwa wanatia "mkono" Yanga kuinusuru na mambo mengi sana.

1583669056388.png

Jezi ya Yanga.

Lakini inaonekana kama vile Mbowe ana Kigugumizi cha kuvaa hadharani Jezi ya Timu yake ya Yanga kutokana na Klabu hiyo watu wake wengi kuegemea CCM na rangi yenyewe ya jezi hizo kulandana na rangi ya CCM.

Baadhi ya wanazi wa siasa wanasema kwamba inawezekana kuwa Mbowe akivaa jezi ya Yanga katika zama hizi za Teknolojia ya Juu sana kwenye mambo ya habari, picha yake inaweza kuhaririwa na kuonekana kama amevaa fulana ya CCM.

Lakini Mbowe ni shabiki kindakindaki wa watu wa Mabondeni Jangwani. Leo aende Taifa akiwa amevaa jezi la chama lake Yanga ili kuongeza motisha kwa timu hiyo yenye a.k.a mpya ya "Vyura!

Mjumbe hauwawi!!
 
View attachment 1380916

hili jezi hata mchezaji wa yanga akikanyagwa uwanjani naona tu ni ccm kimoyomoyo nasema tu safi mkome
 
Ila uzi wa Mabingwa wa kihistoria upo poa sana.

Mbumbumbu Fc mnajionaje na hali huko kwenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom