Lema awe makini sana sana ndani miaka hii 3 maana ameshakuwa target kama Mwakyembe kama wamemkosa huko selo na kale ka sumu basi akae macho!!!!
Upuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
kesho hapatoshiI didn't know that U're such stuupd! Wewe tuache na mbunge wetu. Na ukitaka kujua ni kiwango gani tunamkubali, angalia mkutano wa kesho!
Lema awe makini sana sana ndani miaka hii 3 maana ameshakuwa target kama Mwakyembe kama wamemkosa huko selo na kale ka sumu basi akae macho!!!!
Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.
kesho mapema ntakuwa NMC kumsikiliza mbunge wangu aniambie kilichomsibu
Mtwara ambako hawaandani mara kwa mara wameendelea nini kuizidi Arusha.Upuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
chama makini, demokrasia makini,wanachama makini, viongozi wenye upeo makini, chadema makini,tegemeo watoto,vijana na wazee makini =CHADEMA.
Upuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
Ukitaka kujua uwezo wa mtu kiakili mwache aongee. nadhani maneno yako yanaashiria uwezo wako wa kufikiri. Naomba waJF wakusamehe kwa kuwa hujui ulisemalo na wasikuhukumu.Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.
Hamtarudia, wewe na mke wako tu???Upuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
siyo mimi mkuu, mbona nimesema hapo chini soorce mwananchi, ila wanamanisha gelaza alipo KAMANDA LEMAKichwa cha habari kina tatizo kidogo. Unaposema gereza la Lema unamaanisha nini?